Siasa za tanzania, kanisa katoliki lipo kwenye maombi ya kufunga kumwomba mungu haki na amani

John Manoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2020
Posts
611
Reaction score
381
Sala na Kazi

Ujasiri wa wananchi wanaonyonywa Kinyume na wanamtandao wanyonyaji.

Mshikamano kukabiliana na uhuni kwenye uchaguzi dhidi ya waliojipanga kutumia mahakama kuua fikira. Ni kama kondoo kati ya mbwa mwitu.

Nani panya atamfunga paka kengele?

Tumrudie Mungu Mwenyezi, Mungu wa Paulo na Sila mfungua pingu na milango.Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo.

Bwana utuhurumie,
Kristu utuhurumie
Bwana utuhurumie.
 
Uzuri Mungu ni wetu sote na anayajua yote yaliyojificha mioyoni mwetu...
 
Hakuna cha Novena wala nini! Kwani Wakatoliki wa Congo DR hawaijui hiyo Novena wakasali wakawa na amani? Amani ya nchi hii ni kutokana na misingi ya upendo iliyojengwa tangu enzi za TANU na ASP na sasa CCM! Hao wa Novena waende Congo DR na Sudan.
 
Mtoto wa Shule
Hakuna cha Novena wala nini! Kwani Wakatoliki wa Congo DR hawaijui hiyo Novena wakasali wakawa na amani? Amani ya nchi hii ni kutokana na misingi ya upendo iliyojengwa tangu enzi za TANU na ASP na sasa CCM! Hao wa Novena waende Congo DR na Sudan.
 
Huo ndio ukweli. Amani ya Tanzania haijaletwa na ujinga wa Novena. Nendeni Congo DR mkasali Novena ili M23 waondoke. Nchi imetulia, eti Novena! PUMBAVU!!!


Wewe hujui lolote. Mwalimu Nyerere kabla ya uhuru aliliweka Taifa hili chini ya ulinzi wa Mungu. Lakini haimaanishi tuache kutimiza wajibu, tusubirie miujiza ya Mungu. La muhimu ni kuupinga uovu wa CCM na mashetani yake, huku tukiomba ukuu wa Mungu katika katika jitihada zetu za kuupinga uovu unaolelewa na kulindwa na CCM.

Tuzidishe maombi huku tukishiriki kikamilifu kuukataa kwa nguvu ushetani wa CCM na mawakala wake.

Jitenge, jiweke mbali na uovu wa CCM ili kuiepuka laana ya Mungu
 
Maombi pekee ni kujilisha upepo.
 
Tatizo Numbers!mpo wachache!
Mungu hajawahi kuwasikiliza hao unawaita wakatoliki .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…