Hivi karibuni kumekuweko na matukio mbali mbali hususani chama cha Demokrasia na maendeleo. Tumeshuhudia viongozi wakitimua kwa makosa mbali mbali na wengine wakifukuzwa kwa kutaka kujua au kusimamia msimamo ambao unawanyima fursa wengi wa kutumikia matumbo yao kwahiyo watu kama hao katika chama uitwa masalia kwa kuwa walikuwa wanatetea pesa kutokuwa mradi wa watu wachache katika kutumikia tumbo lao. Hii yote inatokea kwa sababu ya watu kufanya siasa huku wakiwa na njaa.