Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,410
- 7,318
Naona Zitto kabwe yupo katika siasa za Mazoea, ambazo ni za Matukio, ambazo mshahuri wa Chama chake Kitila Mkumbo alionya, alisema zama za siasa za Matukio zimepitwa na wakati, naomba Kitila Mkumbo amuonye au ampe darasa huyu kijana Zitto naona kibri kinamjaa tu, amejikita katika kupotosha mambo mengi kwa ajili ya yeye kupata sifa kwa mda mfupi.. Mwenyewe anajifanya atafia demokrasia, demokrasia gani sijui ambayo yeye ataifia, anashindwa kuelewa demokrasia inatakiwa ianzie ndani ya Chama chake..
Alafu ihamie katika Taifa, ila kuzuia Demokrasia katika vyama vyenu, ambayo ni Haki ya kikatiba.. Wanachama wa vyama vya upinzani hawako huru kukosoa viongozi wao, na wakikosoa wanaitwa wasaliti.
Je amujui hiyo kasumba mliojenga katika vyama ndio imehamia katika Taifa, ukimkosoa kiongozi wa kitaifa(kiserikali) , unaonekana msaliti.
Muanze kuondoa minyororo kwa Wanachama wa vyama vya upinzani, kutokua na uvumilivu wa kutokosolewa, mfano Leo Bashe, marehemu Deo Filikunjombe, Lugola wangekua ni wapinzani, na wanakosoa viongozi wao, wangekua wameshatangazwa wasaliti, ila CCM hakuna hayo mambo, Chama cha wanachama sio cha mtu.
Nimesoma makala ya Zitto anaita utangazaji wa makusanyo ni mbwembwe tu, ambazo sasa hivi hazisikiki, angalia upotoshaji huu.. Tokea serikali mpya imeingia madarakani hawajawai kuacha kutangaza makusanyo Bila kujali kiwango.nilitarajia Zitto angesifia ni kigezo kimojawapo cha uwazi, katika ufanyaji kazi wa serikali, maana hii hali imatakiwa irudi mpaka katika Halimashauri zetu kutangaza makusanyo kila mwezi, ninachokiona Ni chuki binafsi kati ya Zitto na Kiongozi wa Nchi, yaaani Zitto anaombea mpaka mapato ya Nchi yashuke ili, akosoe.
Zitto usitafute sifa za kijinga, kosoa kwa mambo ya msingi tutakuunga mkono, usiwe mtu unaekurupuka, maana Leo wewe Zitto ukikosolewa, unadai watu wanatafuta UDC, mbona wewe unakosoa ili upate Mamlaka(Maslai yako).
Zitto anachotaka yeye jambo aseme yeye liungwe mkono Nchi mzima alafu akae jukwaani aseme yeye ndio alianzisha,
NAUNGA MKONO SERIKALI YA JPM KUTANGAZA MAKUSANYO KILA MWEZI... pamoja Zitto anatamani isiwe hivyo...