Siasa za kweli zipo USA

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,292
Reaction score
6,693
Siasa za kweli zipo USA trust me siyo hapa bongo maelfu ya watu wanaandamana lkn hakuna washa washa hakuna nini unadhani malekani hawana washa washa heeeee wanafata katiba uwezi kumpiga Raia ndani ya malekani kwa kisa cha kuandamana raia wa malekani hana haki ambazo zinalindwa na katiba tatizo viongozi wa africa wana hofu na Mung atawapiga lana kama Wana wakora Obama kamuunga mkono Trump na kamshawishi aondoe ahadi zake za kijinga kama za kuwafukuza waislam na kuwafukuza wahamiaji cz ndani ya jeshi la malekani pia kuna waislam wanajeshi kaelewa ukiingia Tovuti ya Trump hizo ahadi katoa siasa democrasia ya kweli ndo hiiii nimependa bure

Kingine usichokijua kuhusu Trump ni mshabiki wa ukweli wa Arsenal kwangu pia naona janga


 
Maandamano yana sheria na taratibu zake, na kutokujua taratibu na sheria sio kinga ya kutopigwa ukifanya maandamano.
Angalia video hii ya waandamanaji wakipokea kipigo huko Marekani.


 
Mdau naona umeamua kulinganisha m buyu na mchicha.
 
Africa huku kuna kitu hakiko sawa, Viongozi wakishapata madaraka raia sio kitu tena.
 
Africa haijapata viongozi ni wapiga madeal na wapenda sifa 2.
 
Hujachunguza tabia za waandamanaji wa USA na TZ,umeona wanavunja maduka ya watu na kubeba mali za watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…