Siasa ni ubabishaji tu, inashangaza jinsi gani binadamu anavyoweza kulimit options zake kwa kuisubiria siasa imuamulie. Ndo maana Wachina waliliona hili mapema na wakaelekeza juhudi zao kwenye kazi, uvumbuzi na sayansi na technolgy badala ya hii sanaa ya manipulation na mchanga wa macho called democracy. Na sasa hivi wanaprosper.