SonGod emo
Member
- Apr 5, 2012
- 17
- 12
Kwa muda wa miezi baadhi ya mitandao ya sim wamekuwa na promosheni ya vifurushi amabavyo mtu unanua kwa kiasi fulani na kujirusha kwa mda utakaopewa,cha kushangaza hawa vodacom unanua kifurushi cha siku kwa Tsh 600/= wanakupa sec 900 sawa na 15 dkk lakin ukipiga kwa dkk tatu wanakuambia kufurushi chako kimekwisha.
Pia wameanzisha kifurushi cha 200/=Tsh Vodacom -Vodacom ambayo wanasema ni dkk 60 ukinunua hutumii zaidi ya dkk tano watakutumia ujumbe kifurushi kimekwisha je ni kwamba TCRA hawaoni huu utapeli unaofanywa na hawa jamaa au ndo wanatukata kiaina ile kodi ya mwezi ya Tsh 1000/= kwa mwezi ? tujuzane maana hii imekuwa ni kero kubwa sana.