masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Siasa ya Kujitegemea(ukipunguza ujamaa), bado ni halali sana katika siasa na uchumi nchini Tanzania.
Katika miaka ya karibuni tumeona kinsi nchi tajiri zilivyoingeza masharti ya kutusaidia katika bajeti ya serikali yetu.
Mwalimu Nyerere hakukosea kusema ili kulinda utu na heshima ya nchi, ni sharti tujiwekee mikakati mizuri ya kujitegemea wenyewe kiuchumi.
Hiyo ilikuwa miaka ya mwishoni mwa 60s.
Leo hili ni dhahiri na tunaona jinsi tunavyosimangwa ili tu tujengewe zahanati na tufungiwe umeme.
Suluhisho ni kujitoa kwenye misaada yote, tubaki na mikopo kwa maendeleo.
Bile vile tuongeze shughuli za kibiashara kwa wazawa ili tupate an indigenous industrial base.
Tatu watu wa mipango serikalini wabadilike na kufikiria utanzania kwanza katika kila kitu.
Nne tulinde uchumi wetu na lazima tujipendelee kwa sera na mikakati ili iwe Tanzanian Products First.
haya yote hayatawezekana kama hakuna uzakendo, hili lienziwe na hata vyama vya upinzani.
Nchi hii ina kila kitu cha kutupaisha kimaendeleo.