MissM4C
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,740
- 1,004
SIASA YA KENYA IMEKOMAA sana na watu wanajua nini maana ya demokrasi, wakenya hawarubuniki kwa pesa katika kufanya decision....
Kuwa Governer au Senator ama Women rep ama MCA sio guaranted...
Tumeshuhudia Magavana kibao wameqngushwa katk party primaries mfano. Kiambu, Kirinyanga, Kajiado just to mention few kuna counties zingine zitafuata
Wakenya kipindi cha election hutazama kiongozi kama ameleta maendeleo ama blah blah, waliopigwa chini wote hakuna walichokifanya...
Kwa Tz hali ni tofauti MTU akiwa mbunge ni guaranteed atachaguliwa Mara zote hata kama hajafanya lolote jimboni, tizama Chenge wa Bariadi, Magembe wa Mwanga, Magufuli Mp-Chato kwa miaka 25 na wengine, Tz inawezekana kuwa mbunge mpaka kufa kwako.. Tz majimbo MENGI yamejaa wajinga(wananchi wasiojielewa) isipokuwa sehemu chache.....mfano. DSM na Arusha...
Ifike sehemu tuige Kenya jinsi wanavyo wa punish viongozi wazembe....sio kupewa kitu kidogo na kutoa kura hata kwa wasio leta maendeleo.
Hongereni Kenya kwa kuwa na wananchi wanajitambua wengi
TATIZO LA KENYA
Ni Vurugu, hawawezi kufanya uchaguzi bila kukatana maskio na mabomu, this is the only weakness of kenyan politics, katika kura za primaries tu tumeshuhudia faulo na vivo vya watu kadhaa sasa wanakaribia watano walopoteza maisha
Mtu amekufa Kisumu, Busia na Nairobi within these few days na hizo ni kura za maoni tu, sasa fikiria 8.8.2017 itakuwaje...
TUWAOMBEE NDG ZETU KENYA....(Maana wamezidiwa na Tz katika Amani, swala ambalo ni la msingi kwa welfare ya wananchi...