Siasa ya CHADEMA ni ya matukio

Queen Esther

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
2,206
Reaction score
1,465
Great Thinkers habari za asubuhi,

Kwa kweli tangu CHADEMA ianzishwe kimekuwa ni chama cha matukio na kutengeneza movie zisizoisha.

Kwa sasa tuna movie ya Wabunge Viti Maalum ambao nyepesi nyepesi zinasema Mwanasheria wa kuzaliwa Halima Mdee anaongoza timu hiyo (Wapare wanauza Ng'ombe kwa kesi ya Kuku) anaelekea Mahakamani kukata rufaa.

Ukimuweka na mdogo wake KM ambaye elimu yake ni changamoto ujue miaka mitano itapita wanazunguka na kesi hivyo kuendelea kupiga kazi mjengoni.

Huu mpango Freeman Mbowe anaujua msijidanganye ni mwamba anawachora na kuwachota akili kumfurahisha MBELINGINJI ili aendelee kutafuta vihela ambavyo mpaka sasa hakusomeki

Muda ni mchache na mambo ni mengi, yajayo yanafurahisha. CCM wanachapa kazi CHADEMA wanakimbizana Mahakamani na kufukuzana, miaka 5 ni kufumba na kufumbua tunaenda kwenye uchaguzi 2025

CCM wanaendelea kuchapa kazi msiseme mmeibiwa kura uchaguzi ukifika

Hebu tuorodheshe sinema za CHADEMA ukianza na tukio la hovyo alilofanyiwa Dr. Slaa!

Queen Esther
 
Siasa na wewe wapi na wapi?
 
haya amka hapo ukaoshe vyombo umevilundika vya wiki nzima hadi nyumba nzima inanuka ufyenze.
 
Stiff necked fulls.
 
mrembo leo weekend, usiku huu nenda kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…