Siasa vyuoni

DBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2012
Posts
218
Reaction score
93
kuna haja gani ya kukataza siasa vyuoni wakati utawala wa vyuo unaonesha unawahitaji viongozi wa chama kipi????
 
kuna haja gani ya kukataza siasa vyuoni wakati utawala wa vyuo unaonesha unawahitaji viongozi wa chama kipi????
nyie vijana wa siku hizi,badala ya kusoma mnaendekeza siasa zisizo na maana ,huo muda unaochezea mngejiwekeza kwenye ujasiliamali mnakaa kubwabwaja tu.
 
MKUU nahisi hujanielewa Kila chuo Lazima kiwe na uongozi sasa inashangaza kuona Management zinahusisha uvyama na kusahau kuwa hizi ni taasisi zilizozuia itikadi ya chama chochote ndani ya chuo La sivyo iwe nje ya chuo................
 
Kila kitu na wakati wake. Ukiwa mwanafunzi wewe kazana na shule. Management ni wafanyakazi na kawaida ya binadamu 'has to serve the boss'. Hiyo management inateuliwa ili iwakilishe watawala, hata kama management haipendi watawala toka chama tawala lazima ilazimishe kuwapenda ili watoto wao waende choo. Wanasema if you can not fight the system join it. Kiongozi anayejua maisha ni Kingunge Ngombale Mwiru ambaye zamani alikuwa kipenzi wa Nyerere na Ujamaa, akaja Mwinyi na Mkapa akafanya nao akaingia ubepari na hata akakusanya ushuru Ubungo terminal!!!! Na alipoingia Kikwete yumo, na naamini hata akija Slaa atakuwa bega kwa bega naye. If you can not change the system join it. Nadhani umenipata ndugu yangu, hata huku kwetu vijijini akija mwenyekiti wa kijiji wa CCm, tumo akija CDM tumo na hata kesho akija Nape na CCJ tupo tu. Karibu Njinjo
 
Reactions: DBA
mzee umesomeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…