tanzanite miner
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 257
- 172
Kila mwanasiasa anaetoka maeneo yakopatikana gas hapa nchini huwa anatumia kama promo ya kujipatia anachotaka kwa kuzungumzia gas kuwa itakomboa maisha yao kama sio kupunguza makali ya maisha.
Muasisi wa utumbuaji majipu nae alichonga sana kua viwanda na wanaotumia Kuni sasa basi.Kwakweli gas ya kupikia ni ghali sana, kale kadogo tu unahesabu hele mpaka unachoka, je hile ya kilo 25 si mshahara mzima jamani?
Umefika wakati sasa na sisi watumiaji wadogo tuangaliwe kwani ni huduma ile sio biashara.Wale wa kwenye mahoteli yaani mitungi mikubwa ndio wapigwe bei walau,sio sisi wachemsha dagaa na nguru.