Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Jan 28, 2016 Thread starter #21 MasterP. said: Mada inaweza kuanzishwa kwa lengo zuri tu lakini kuna watu wakishaingia tu humu lazima patachafuka.. Click to expand... Ni kwakuwa wanafahamika huwa ni kuwavumilia waongee upuuzi wao waondoke hawana pumzi na mara nyingi ukiwapuuza wanakosa nguvu ila ukijibishana nao ni kama kuwatia mzuka
MasterP. said: Mada inaweza kuanzishwa kwa lengo zuri tu lakini kuna watu wakishaingia tu humu lazima patachafuka.. Click to expand... Ni kwakuwa wanafahamika huwa ni kuwavumilia waongee upuuzi wao waondoke hawana pumzi na mara nyingi ukiwapuuza wanakosa nguvu ila ukijibishana nao ni kama kuwatia mzuka