Siasa Hizi: Mkuu wa Wilaya Akizima Moto Mbeya

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,323
4,620
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa mwenye suti akisaidiana na kikosi cha Zima moto kuuzima moto ulioteketeza Bweni la wavulana katika shule ya sekondari ya Iyunga jijini Mbeya linalolaza wanafunzi 95 February 29 mwaka huu.
IMG_9482.JPG
 
Usipojipa muda kutafakari utaishia kulia ukewenza bila kujali jinsia yako ama marital status yako. Machungu ya Uchaguzi Mkuu uliopita yanakutafuna hadi unasahau tarehe zinabadilika kila siku. Huyo kiongozi kaharibu nini wakati akisaidia kuzima moto? Kama huna ushahidi na madhaifu yake kikazi jambo jema analofanya mbele ya vyombo vya habari linakukosesha vipi raha kama si unyumbu kenge?
 
Ahahaha,Mbona unalia lia?
 
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa mwenye suti akisaidiana na kikosi cha Zima moto kuuzima moto ulioteketeza Bweni la wavulana katika shule ya sekondari ya Iyunga jijini Mbeya linalolaza wanafunzi 95 February 29 mwaka huu.
IMG_9482.JPG
Sasa tatizo hapo liko wapi?
 
Back
Top Bottom