Siasa bwana, Si hasa

Siasa bwana, Si hasa

Dadeq

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
384
Reaction score
250
Siasa bwana ni kama mchezo wa rede!
Leo wako wanaolia: "No reform, no election!"
Wengine wanawabwatukia: "Acheni kelele, hamna lolote!"

Lakini subiri tu, serikali ikisema: "Tumeamua kuanzisha mazungumzo,"
hao waliokuwa wanacheka, wanabadilika. Uttwasikia, siri kali sikivu, kiongozi, mpenda amani.

Mimi babu yenu naendelea na kilimo cha watoto maana msimu ndio huu.
 
Back
Top Bottom