Siasa bwana, hakika ni mchezo mchafu

nenda shule uachane na huo ushabiki wa kubeba mabango barabarani huku ukisubiri 5000 ya kifuta jasho......wasomi hubeba vipepereshi au bendera ndogo kwenye mikutano ya kisiasa.
 
nenda shule uachane na huo ushabiki wa kubeba mabango barabarani huku ukisubiri 5000 ya kifuta jasho......wasomi hubeba vipepereshi au bendera ndogo kwenye mikutano ya kisiasa.
Hizo ndio zinatolewa Uwanja wa ndege kupokea Bombadier kwa wale wenye kijani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na kweli siasa ni mchezo mchafu.

Sababu ukiwauliza leo hii hao waliokuwa na hilo bango ni dhahiri utaambulia kejeli na dharau kuhusu hizo hizo nywele zake na hata hiyo roho yake.
 
Hapo kwenye njia nyeupeee msingeandikia rangi nyeusi njia ingekua nyeupe hahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…