Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Wakuu, Mimi namfahamu Alberto Msando kwa kuwa amekuwa Rafiki yangu toka tukiwa Chuo UDSM. Kama Binadamu kuna mahala anaweza teleza na ni kweli tulio wengi tunapitia yale ambayo yeye anayapitia hasa katika kipindi hiki ambacho Wadada wamekuwa Refreshment kwa Wakaka.
Ila Kinachonitatizo Pamoja na Kuomba radhi kwa jamii na Familia na Marafiki kwa kile Kilichojitokeza ambacho kwa kusema ukweli hakukitegemea kuonekana katika hadhara mbalimbali.
Cha Kushangaza kuna hii Connection yake ya Kuwajibika kwa kuachia Nyadhifa kadhaa aliyokuwa amekabidhiwa na ACT na Ukomavu wa Kisiasa kwa Kiongozi wa Ngazi yake.
Na kuna wengine wamefika Mbali kwa kusema kuwa kama Hili Lingemtokea Kiongozi wa Chama Cha Siasa kama Chadema au CCM kuwa huyo Kiongozi asingekubali kuachia Ngazi alizonazo za Kisiasa.
Hi ni Kweli hili Jambo limetengenezwa ili kuonyesha kuwa ACT Wazalendo kuwa Viongozi wanawajibika pale wanapoenda kinyume na Ni Kweli kuwa ACT Wazalendo Kinataka kuaminisha Umma kuwa Kipo Komavu kupitia Hatua aliyoichukuwa Ndugu Yangu Alberto Msando.
Mi naamini kama Binadamu yeyote yule kilichomtokea ni jambo la kawaida na linatutokea tulio wengi Mno.
Mimi Siyo Mwanachama wa Chama Chochote cha Siasa, Ila Najiuliza kutokana na yanaoyendelea