Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,230
- 138,738
wametajwa buku 7,kwani wewe ndiye mbona unapovuka sanaNahisi Ungeanza Wewe Kwanza Na Kama Shamba Lenyewe La Wiziwizi Jiandae, Lukuvi Is Still On The Move,wenzake Wanapiga Kampeni Yeye Anasafisha Wizara Ya Ardhi...
Wewe na ukoo wenu ndo mmekufa, ccm ipo na itakuwepo
wametajwa buku 7,kwani wewe ndiye mbona unapovuka sana
CCM is dead long time. Burial ceremony to follow soon. Cemetery => Lumumba.
Nyie chomoeni sharubu zenu utaona ccm itakacho kifanya october ndio mutabaki kusema tumeibiwa ccm mbele kwa mbele
Yaani kura tu za waislam zinatosha kumnyima lowasa kura, bado za wakatoliki, wasiokuwa na dini. Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje!!!...ishakufa tayari ndo maana hata wao hawasemi chagua ccm maana hakuna hicho kitu, kilichopo ni mkusanyiko wa kivuli chao, tunazika rasmi tarehe 25 October....
Wewe mpumbavuu na lofa, lowasa hawezi kuwa rais. Rejea kauli ya waislamu. Pia ni fisadi na mwizi anayetakiwa kuchomwa moto afeWanajukwaa,
Kwanza nianze kwa kuwapa pole wale ambao walishazoea kupata ulaji kupitia mgongo wa CCM, kwa hali ilivyo sasa najua mnaumiza sana vichwa kufikiria juu ya hili, na sidhani tena kama mtakuwa na msaada wowote.
Katika kipindi hiki kigumu ningewashauri muanze kutafuta kazi za kufanya mapema kabisa ilimradi mpate vijisenti vya kujikimu, Bomba la kupatia hela linaenda kufungwa.
Ccm kwa sasa inajaribu kukikimbia kifo lakini siamini kama kifo huwa kinakimbiwa, na hii inatokana na kulemaa wao wenyewe walijisahau wakadhani bado wapo kwenye mfumo wa chama kimoja.
Kwa sasa ni nani mwenye ujasiri wa kutamka neno "CCM" mbele ya mhadhara wa watu tofauti na jukwaani? na likitamkwa ujue si kwa mazuri bali uozo wake na halufu mbaya inayotoka.
Mwanzoni nilijua ni siasa za Tanzania za miaka yote, lakini nimekuja kugundua ni tofauti kabisa, nasikitika kuona chama tawala kuonyesha udhaifu namna hii,Nasubiri Wosia wa mwisho wa chama hiki wakati kinakabidhi majukumu kwa wapinzani KWAHERI CCM.
Kila mtu nkimuuliza kwenyejimbo leno magufur amrfirika wana sema "hawapi watu tumeenda kuangalia wakina diamond" hii ni hatar xana kwa sisi emu, pia kelele zina kua nying pale wasanii wanapo wapungia mikono wananchi,magufur anatumia mwanya hua kutoa salam zake watu awana mpango nae
Kweli chama changu kimekufa
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Yaani kura tu za waislam zinatosha kumnyima lowasa kura, bado za wakatoliki, wasiokuwa na dini. Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje!!!
Wewe mpumbavuu na lofa, lowasa hawezi kuwa rais. Rejea kauli ya waislamu. Pia ni fisadi na mwizi anayetakiwa kuchomwa moto afe
r.I.p ccm tulikupenda lakini mafisadi walikupenda zaidi
Ccm ipumzike kwa Amani maana hakuna namna tena #mabadiliko2015nalowassa
Ccm ipumzike kwa Amani maana hakuna namna tena #mabadiliko2015nalowassa
Mpaka Sasa Hivi Ukawa Ishakufa,imebaki Chadema Ambayo Hata Mgombea Mwenza Wao Kashaambaaa