Siamini kumbe Mchumba wangu ni malaya! Wanawake ni hatari!

UAMUZI NI MMOJA TU. KWANZA KAPIME TENA BAADA YA MIEZI 6. KAMA JIBU HULIJUI WEWE NI FALA NA HUNA AKILI.
 

Januari hii mwanaume kama huna mpunga heshima lazima ishuke kwa mpenzi hafu hapo ndo utaanza kuendesha msako wa usaliti, Tafuta pesa utaona kila mpenzi uliyenaye anakupenda kwa kukunyenyekea.
 
Papuchi inayotumika kiasi hicho ingekuwa na kaarufu fulani
Mkuu embu elezea hili kidogo, kuna mwanamke niko nae enzi tunaanza hakuwa na kaharufu ila sasa hata simtamani (kuna bwana mmoja alikuwa anatoka nae na tunakaa mikoa miwili tofauti) sasa mimi nikiwa dar anaendelea na libwana kilimo lakini sasahivi kaachana nalo kwa mujibu wa maelezo yake ni mwaka sasa.

Ila anaharufu kali nipe darasa kidogo
 
mkuu umeshamuliza kuhusu Tigo yake ipo salama kweli? huenda walisha itoa wajanja
 
Mkuu kaharufu si kawaida.Hususani kaarufu ka samaki ya shombo.Huenda ana ugonjwa wa zinaa.Atumie antiobiotics.Na mojawapo ya dawa muhimu ni flagyl.
 
U can't be serious men!!!! yan bado hujamwambia kitu unasubili nini? hio nishetani chukua sim yko mpe line zake aendelee na maisha yake as long as umeshapima na unajijua uko sawa temana nae fastaa
over.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…