Siamini kumbe Mchumba wangu ni malaya! Wanawake ni hatari!


Ngoda95

Ngoda95

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Messages
2,290
Likes
3,987
Points
280
Ngoda95

Ngoda95

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2011
2,290 3,987 280
Kama hii sio chai Pole sana dogo.

Huku mitandaoni unatakiwa kuchukua magoma ya kukatia kiu tu.
 
walitola

walitola

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Messages
1,509
Likes
923
Points
280
walitola

walitola

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2014
1,509 923 280
Very true, kuna mshkaji wangu alioa wa pale shivaz (Arusha) mpaka sasa hivi wana watoto....
Wengine wakipata pakutulia wanatulia sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli kabisa mimi ninao wajua mademu watatu kitaani kwetu wapo walikuwa wanauza nyuchi lakini wameolewa na familia zao maisha yanaenda

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Messages
10,006
Likes
6,086
Points
280
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2014
10,006 6,086 280
Nikisomaga Uzi kama huu najionaga the best ever loh, watu hawaogopi kupanuka uchi na ombo tofauti??
 
afande kifimbo

afande kifimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2015
Messages
5,829
Likes
2,092
Points
280
Age
48
afande kifimbo

afande kifimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2015
5,829 2,092 280
anatumia jina gani huko hitwe nikajisajili nimtafute...nitajie inbox tu
 
mwanazuoni mgeni

mwanazuoni mgeni

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Messages
1,041
Likes
875
Points
280
Age
25
mwanazuoni mgeni

mwanazuoni mgeni

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2016
1,041 875 280
Utakuta na huku jf yupo.
Ila mkuu kweli mpenzi wako atiwe na wanaume wengine usihisi chochote kwenda papuchi yake? WEWE NI MZEMBE
C mnakamuliaga limao

From profile picture to proper future
 
Ulweso

Ulweso

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2016
Messages
10,395
Likes
11,234
Points
280
Ulweso

Ulweso

JF-Expert Member
Joined May 24, 2016
10,395 11,234 280
Samwel Meleka

Samwel Meleka

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2014
Messages
593
Likes
153
Points
60
Age
33
Samwel Meleka

Samwel Meleka

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2014
593 153 60
Mapema mwaka jana mwanzoni nilimpata dada mmoja mwenye asili ya Tanga (24) nikawa nadate nae. Nilimpata Instagram na tulianza mawasiliano ya kawaida baadae tukaonana na tukaanzisha uhusiano wa mapenzi.
Dada huyu Ni Mzuri sana na mwenye haiba ya aibu!. Siku na Miezi ilikatika nikawaza kuwa sasa muda wa kuoa umefika, maana Dada alikuwa anaonyesha kila Aina ya matumaini kuwa anafaa kuwa mke (Kwa macho ya Kibinadamu).

Ila kabla sijaamua kufanya maamuzi makubwa ya kwenda kumtambulisha kwa wazazi na Kufunga nae ndoa nikaona Hebu Nimtazame kwa jicho la tatu.

Ooh Hapo ndipo nilikoma nikaona hii dunia kweli jalala.
Nilifanya maarifa ya kujaribu kumfuatilia juu juu ila sikugundua kitu, ndipo nikawaza kuwa natakiwa nitumie maarifa ili niweze kuitambua vizuri Ngozi yake halisi.
Mapema mwezi huu nilianza kugundua mambo yalojificha kumuhusu!.
Kumbe kwenye simu anayoitumia ana lini mbili ila muda wote akiwa nami huwa anaitumia line moja nyingine anaiinactive!
Nikagundua Kumbe mle kwenye simu yake huwa ana app mbili za whatsapp! yaani whatsapp ya kawaida na GB whatsapp!.
Nikagundua kumbe mle kwenye simu yake ana app kadhaa za online dating kama Badoo, na Tinder na humo ndimo anamojiuzia, Pia Nikapepeleza nikagundua kwenye simu yake huwa anaficha app hizo na Gb whatsapp hivyo anaweza akakuachia simu siku nzima usigundue lolote!
Ndipo Nikajiuliza kwanini anaweke apps kama hizi tena kwa kuzificha?
Nikawaza kwanini awe na whatsapp nyingine ambayo haraki niijue!?
Nikajiuliza kwanini kwenye simu yake kwanini ana line mbili ili hali mimi naijua moja tu na nyingine ipo inactive!
Ndo nikaona hapa sio Bure kuna mchezo unaendelea, Kazi niliyofanya ni Kuchukua no ile line ambayo muda wote huwa anaifunga.
Nilitafuta line mpya na nikaisajili kwenye whatsapp na Kumtext kwa ile namba!, E bwanee! Sikuamini!, Mchumba wangu alinijibu baada ya Muda na kuniambia nataka nini na namba yake nimepata wapi?,.
Nikamwambia 'ulinipa no yako wiki mbili zilizopita Badoo,' akaniuliza nataka nini?, Mimi nikamuomba game!.
Huwezi amini hakuniuliza chochote kingine zaidi ya kuniuliza nina Sh ngapi!, Nikapasuka Moyo Ghafla na kumwambia "Sema tu wewe", Akasema anataka 40000!!
Mmh sikuamini nikaona kama kiini macho vile! Nikamwambia Vipi Unaweza kuja tukalala Hotel? akasema "pesa yako tu"!!! Nikamuuliza sh ngapi akasema 60000!! Nikapata uwoga inawezekanaje afanye mambo kama hayo! maana Tangu nafahamiana nae huwa anaweza akaja kwangu akakaa siku tatu, mara utasikia Narudi kwa mjomba Ilala!
Anaweza kwenda na kukaa huko wiki hadi wiki na nusu ndo naonana nae tena! Nikawa nimegundua kumbe hata mjomba wake muda mwingine huwa anawaza Mchumba yupo kwangu Kumbe hayupo kwangu wala kwake anafanya umalaya huko!.
Nikafikiria nikaona ni kama uongo vile nikasema ngoja niingie huko kwenye hiyo mitandao nimtafute, Baada ya siku mbili nikaibamba picha yake Hitwe na Kumtumia Ujumbe.
Ilipofika mida ya jioni kama saa mbili hivi ndipo akanijibu,
Ebwanee sikuamini Kumbe Mchumba wangu anaweza kufanywa hadi Mtungo!
Nilimtext "Mimi na wenzangu watatu Tunakataka tulale na wewe", akasema 'hela yenu tu' Nikashangaa!!
Nikamuuliza "Unaweza"?
Akasema wanne sijawahi kujaribu ila watatu nishawahi, naweza!
Mpaka kufikia hapo nikawa nimeishiwa pozi!.
Sijamuonyesha lolote hadi sasa kuwa kuna kitu nimekistukia kutoka kwake, Ila bado najiuliza Huyu ni mtu au Shetani!?
Anawezaje kuwa anafanya uchafu mkubwa kiasi hiki!?
Simu Aliyonayo mimi ndo nimemnunulia, Matumizi yote ya msingi huwa nampa, sasa nashindwa hata kuelewa anafanya hayo mambo anataka nini! na hela anapeleka wapi!!? na mpango wake kwangu ni nini!
Kifupi nipo kwenye wakati mgumu sana hapa.
Najaribu kufikiria wanawake wana akili za aina gani! hili jambo naona Ni la ajabu mno kwangu! Natafakari Nifanye nini, maana si pepo la ngono tu alilonalo, ila nahisi Huyu ndiye shetani mwenyewe real kabisa. Cha kushangaza, Mwezi wa kumi na Moja Nilienda nae kupima, Na wote tukaonekana tuko sawa ila nashindwa kabisa kuelewa kwanini arisk maisha kiasi hiki!. Naombeni maarifa wenzangu nifanye nini.
Wanawake wote ni malaya ila huyo wako ni CHANGUDOA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulweso

Ulweso

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2016
Messages
10,395
Likes
11,234
Points
280
Ulweso

Ulweso

JF-Expert Member
Joined May 24, 2016
10,395 11,234 280

Forum statistics

Threads 1,272,409
Members 489,970
Posts 30,450,161