kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,204
- 18,473
lakini si unafahamu kuwa virusi huwa vinakuwa ditected baada ya miezi 3 tangu unapokutana na mtu muathirika?!.
Duuuh watu hamchezi na fursaDah ngoja nije PM nikupe darasa ni kitu kimoja amazing sana, hapa tutachafua uzi wa watu. Nipe tu go ahead nije
Hahaha uchochezi huu. Usichukulie kila kitu serious asee bro, nyingine changamsha genge tu JF ni kichaka asee
muuza uchi hapati ukimwi..na sasa hivi wanawapa dawa za kujikinga wanapoingia mzigonilakini si unafahamu kuwa virusi huwa vinakuwa ditected baada ya miezi 3 tangu unapokutana na mtu muathirika?!.
nakushauri baada ya miezi 3 uende tena
Thread Closed!na uaminifu wake hau-apply kwa baba yako ni kwako wewe tu liweke hili akilini mwako.
Unahis nn papuchi ikiliwa, tupeane uzoefuUtakuta na huku jf yupo.
Ila mkuu kweli mpenzi wako atiwe na wanaume wengine usihisi chochote kwenda papuchi yake? WEWE NI MZEMBE
UAMUZI NI MMOJA TU. KWANZA KAPIME TENA BAADA YA MIEZI 6. KAMA JIBU HULIJUI WEWE NI FALA NA HUNA AKILI.Mapema mwaka jana mwanzoni nilimpata dada mmoja mwenye asili ya Tanga (24) nikawa nadate nae. Nilimpata Instagram na tulianza mawasiliano ya kawaida baadae tukaonana na tukaanzisha uhusiano wa mapenzi.
Dada huyu Ni Mzuri sana na mwenye haiba ya aibu!. Siku na Miezi ilikatika nikawaza kuwa sasa muda wa kuoa umefika, maana Dada alikuwa anaonyesha kila Aina ya matumaini kuwa anafaa kuwa mke (Kwa macho ya Kibinadamu).
Ila kabla sijaamua kufanya maamuzi makubwa ya kwenda kumtambulisha kwa wazazi na Kufunga nae ndoa nikaona Hebu Nimtazame kwa jicho la tatu.
Ooh Hapo ndipo nilikoma nikaona hii dunia kweli jalala.
Nilifanya maarifa ya kujaribu kumfuatilia juu juu ila sikugundua kitu, ndipo nikawaza kuwa natakiwa nitumie maarifa ili niweze kuitambua vizuri Ngozi yake halisi.
Mapema mwezi huu nilianza kugundua mambo yalojificha kumuhusu!.
Kumbe kwenye simu anayoitumia ana lini mbili ila muda wote akiwa nami huwa anaitumia line moja nyingine anaiinactive!
Nikagundua Kumbe mle kwenye simu yake huwa ana app mbili za whatsapp! yaani whatsapp ya kawaida na GB whatsapp!.
Nikagundua kumbe mle kwenye simu yake ana app kadhaa za online dating kama Badoo, na Tinder na humo ndimo anamojiuzia, Pia Nikapepeleza nikagundua kwenye simu yake huwa anaficha app hizo na Gb whatsapp hivyo anaweza akakuachia simu siku nzima usigundue lolote!
Ndipo Nikajiuliza kwanini anaweke apps kama hizi tena kwa kuzificha?
Nikawaza kwanini awe na whatsapp nyingine ambayo haraki niijue!?
Nikajiuliza kwanini kwenye simu yake kwanini ana line mbili ili hali mimi naijua moja tu na nyingine ipo inactive!
Ndo nikaona hapa sio Bure kuna mchezo unaendelea, Kazi niliyofanya ni Kuchukua no ile line ambayo muda wote huwa anaifunga.
Nilitafuta line mpya na nikaisajili kwenye whatsapp na Kumtext kwa ile namba!, E bwanee! Sikuamini!, Mchumba wangu alinijibu baada ya Muda na kuniambia nataka nini na namba yake nimepata wapi?,.
Nikamwambia 'ulinipa no yako wiki mbili zilizopita Badoo,' akaniuliza nataka nini?, Mimi nikamuomba game!.
Huwezi amini hakuniuliza chochote kingine zaidi ya kuniuliza nina Sh ngapi!, Nikapasuka Moyo Ghafla na kumwambia "Sema tu wewe", Akasema anataka 40000!!
Mmh sikuamini nikaona kama kiini macho vile! Nikamwambia Vipi Unaweza kuja tukalala Hotel? akasema "pesa yako tu"!!! Nikamuuliza sh ngapi akasema 60000!! Nikapata uwoga inawezekanaje afanye mambo kama hayo! maana Tangu nafahamiana nae huwa anaweza akaja kwangu akakaa siku tatu, mara utasikia Narudi kwa mjomba Ilala!
Anaweza kwenda na kukaa huko wiki hadi wiki na nusu ndo naonana nae tena! Nikawa nimegundua kumbe hata mjomba wake muda mwingine huwa anawaza Mchumba yupo kwangu Kumbe hayupo kwangu wala kwake anafanya umalaya huko!.
Nikafikiria nikaona ni kama uongo vile nikasema ngoja niingie huko kwenye hiyo mitandao nimtafute, Baada ya siku mbili nikaibamba picha yake Hitwe na Kumtumia Ujumbe.
Ilipofika mida ya jioni kama saa mbili hivi ndipo akanijibu,
Ebwanee sikuamini Kumbe Mchumba wangu anaweza kufanywa hadi Mtungo!
Nilimtext "Mimi na wenzangu watatu Tunakataka tulale na wewe", akasema 'hela yenu tu' Nikashangaa!!
Nikamuuliza "Unaweza"?
Akasema wanne sijawahi kujaribu ila watatu nishawahi, naweza!
Mpaka kufikia hapo nikawa nimeishiwa pozi!.
Sijamuonyesha lolote hadi sasa kuwa kuna kitu nimekistukia kutoka kwake, Ila bado najiuliza Huyu ni mtu au Shetani!?
Anawezaje kuwa anafanya uchafu mkubwa kiasi hiki!?
Simu Aliyonayo mimi ndo nimemnunulia, Matumizi yote ya msingi huwa nampa, sasa nashindwa hata kuelewa anafanya hayo mambo anataka nini! na hela anapeleka wapi!!? na mpango wake kwangu ni nini!
Kifupi nipo kwenye wakati mgumu sana hapa.
Najaribu kufikiria wanawake wana akili za aina gani! hili jambo naona Ni la ajabu mno kwangu! Natafakari Nifanye nini, maana si pepo la ngono tu alilonalo, ila nahisi Huyu ndiye shetani mwenyewe real kabisa. Cha kushangaza, Mwezi wa kumi na Moja Nilienda nae kupima, Na wote tukaonekana tuko sawa ila nashindwa kabisa kuelewa kwanini arisk maisha kiasi hiki!. Naombeni maarifa wenzangu nifanye nini.
Mapema mwaka jana mwanzoni nilimpata dada mmoja mwenye asili ya Tanga (24) nikawa nadate nae. Nilimpata Instagram na tulianza mawasiliano ya kawaida baadae tukaonana na tukaanzisha uhusiano wa mapenzi.

Mkuu embu elezea hili kidogo, kuna mwanamke niko nae enzi tunaanza hakuwa na kaharufu ila sasa hata simtamani (kuna bwana mmoja alikuwa anatoka nae na tunakaa mikoa miwili tofauti) sasa mimi nikiwa dar anaendelea na libwana kilimo lakini sasahivi kaachana nalo kwa mujibu wa maelezo yake ni mwaka sasa.Papuchi inayotumika kiasi hicho ingekuwa na kaarufu fulani
Mkuu kaharufu si kawaida.Hususani kaarufu ka samaki ya shombo.Huenda ana ugonjwa wa zinaa.Atumie antiobiotics.Na mojawapo ya dawa muhimu ni flagyl.Mkuu embu elezea hili kidogo, kuna mwanamke niko nae enzi tunaanza hakuwa na kaharufu ila sasa hata simtamani (kuna bwana mmoja alikuwa anatoka nae na tunakaa mikoa miwili tofauti) sasa mimi nikiwa dar anaendelea na libwana kilimo lakini sasahivi kaachana nalo kwa mujibu wa maelezo yake ni mwaka sasa.
Ila anaharufu kali nipe darasa kidogo
Hahahaha jamaa akajiona mtu wa miujiza mikali kumbe nae mteja tu kama wenzaketatizo lako mkuu ulijiona una miujiza sana yaani mtoto mkali kilaini tu uopoe instagram
Sent using Jamii Forums mobile app