Mwana Ukoo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 252
- 422
Kwanini ndugu tujuze?Kwa sasa huwezi tena kufaidi Halotel kwa hapa Dar labda nje ya mji
Hata huku madongo kwinama wanazingua hivo hivoKwa sasa huwezi tena kufaidi Halotel kwa hapa Dar labda nje ya mji
Watumiaji wamekuwa wengi nduguKwanini ndugu tujuze?
Basi wameshazidiwa watoe 4G tu kwa sasaHata huku madongo kwinama wanazingua hivo hivo
Naona unafurahisha genge? Halotel hamna kitu kwa sasa ktk Internet. Na hii ni kwa sehemu nyingi hapa nchini. Wasiporekebisha mitambo yao kuendana na ongezeko la wateja wa huduma zao hali itazidi kuwa mbaya. Itabidi turudi tulikotoka'Toa laini iangalie fresh unaeza kuta ya tigo... Me mbn halotel niko katikati ya mji ila napata huduma fresh tuuuu hapa namalizia ku download window 10 yangu ina 3 gb