Siamini kama kesho ni Ijumaa!

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,613
Reaction score
16,190
Nilikuwa nadhani leo jumatano, siku zinakimbia! Asante mzee wa hapa kazi tu kutufanya tukae maofisini.
Vipi nawewe uko busy na kazi?
 
Hata mimi nimebishana sana na mtu asubuhi. Nilijua leo jumatano
 
Nilikuwa nadhani leo jumatano, siku zinakimbia! Asante mzee wa hapa kazi tu kutufanya tukae maofisini.
Vipi nawewe uko busy na kazi?
Magufuli katufanya tuwe bize kiasi kwamba tunasahau siku
 
Tatizo nyie lambalamba mliishi kwa mazoea!
 
Kila anaechanganyikiwa kwa ajili ya magu huyo hataki kazi.
 
duh nategemea na jpili wote tukutane makazini,yani tusahau kama leo
tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe . . . . . . .
 
Mi mwenyewe nilijua j5j5 basi nimekaa nasubiria siri ya mtungi kumbe jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…