Siamini kama hatuna wataalam waliofuzu vyema.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siamini kama hatuna wataalam waliofuzu vyema....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Easymutant, Jun 9, 2011.

 1. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Ninaamini kabisa wataalamu tunao wa kutosha katika baadhi ya website za taasisi kubwa hapa TZ ni lazima uwe zaidi ya mwehu ili uweze kukubaliana na unachokitazama mfano ni huu....
  1.link Huyu naye unaweza kusema ni webmaster?
  2.endelezeni wako wengi tu...

  mbaya zaidi unaweza kuomba email address yao ukapewa ya abc@yahoo.com .....

  Sometimes i smile coz i don't know what the hell is going on .....
  na mijitu unakuta inasugua makalio (IT-Manager), hata likitaka kugonga patch cable lina outsource...
  wehu mtupu!
   
Loading...