Hata wayahudi, moses alipoenda mlimani wakaanzisha peoples power,. Kilichowakuta hawatasahau,,,Wazungu wanaipa dunia tabu sana, wanaamini kila wanachoanzisha kinapaswa kufuatwa na kutekelezwa kokote duniani.
Dunia ya sasa imeharibika sababu ya demokrasia. Demokrasia ni nzuri lakini imesababisha matatizo sana.
Hivi kweli serikali yenye kila zana inawezaje kushindwa au kuangushwa na nguvu za wananchi ambao hawana silaha? Kama hii dhana inafanya kazi vizuri ingekuwa ishakomboa nchi kama Urusi,Uchina,Uganda na N. Korea na nchi nyingine ambazo demokrasia kwao ni mwiko.
Watu pekee wanaoweza kupambana na serikali labda waasi au jeshi. Yani silaha kwa silaa sio silaha kwa mkono mtupu. Utatolewa utumbo bure na watu wataendelea na maisha.
Kama mpaka sasa hujawahi kuona nguvu ya umma ikibadili utawala basi bila shaka huna macho na nimekusameheWazungu wanaipa dunia tabu sana, wanaamini kila wanachoanzisha kinapaswa kufuatwa na kutekelezwa kokote duniani.
Dunia ya sasa imeharibika sababu ya demokrasia. Demokrasia ni nzuri lakini imesababisha matatizo sana.
Hivi kweli serikali yenye kila zana inawezaje kushindwa au kuangushwa na nguvu za wananchi ambao hawana silaha? Kama hii dhana inafanya kazi vizuri ingekuwa ishakomboa nchi kama Urusi,Uchina,Uganda na N. Korea na nchi nyingine ambazo demokrasia kwao ni mwiko.
Watu pekee wanaoweza kupambana na serikali labda waasi au jeshi. Yani silaha kwa silaa sio silaha kwa mkono mtupu. Utatolewa utumbo bure na watu wataendelea na maisha.
Magufuli alilindwa na mizinga na mabomu lakini kafaWazungu wanaipa dunia tabu sana, wanaamini kila wanachoanzisha kinapaswa kufuatwa na kutekelezwa kokote duniani.
Dunia ya sasa imeharibika sababu ya demokrasia. Demokrasia ni nzuri lakini imesababisha matatizo sana.
Hivi kweli serikali yenye kila zana inawezaje kushindwa au kuangushwa na nguvu za wananchi ambao hawana silaha? Kama hii dhana inafanya kazi vizuri ingekuwa ishakomboa nchi kama Urusi,Uchina,Uganda na N. Korea na nchi nyingine ambazo demokrasia kwao ni mwiko.
Watu pekee wanaoweza kupambana na serikali labda waasi au jeshi. Yani silaha kwa silaa sio silaha kwa mkono mtupu. Utatolewa utumbo bure na watu wataendelea na maisha.
Dogo umevimbiwa mataputapu. Hakuna mfumo bora duniani kwa nyakati hizi wa kutawala na kuongoza harakati zakisiasa na kiuchumi KWA kwa jamii ambazo ni multcutural na Zina social diversities kama mfumo wa democrasy ni perfect.Wazungu wanaipa dunia tabu sana, wanaamini kila wanachoanzisha kinapaswa kufuatwa na kutekelezwa kokote duniani.
Dunia ya sasa imeharibika sababu ya demokrasia. Demokrasia ni nzuri lakini imesababisha matatizo sana.
Hivi kweli serikali yenye kila zana inawezaje kushindwa au kuangushwa na nguvu za wananchi ambao hawana silaha? Kama hii dhana inafanya kazi vizuri ingekuwa ishakomboa nchi kama Urusi,Uchina,Uganda na N. Korea na nchi nyingine ambazo demokrasia kwao ni mwiko.
Watu pekee wanaoweza kupambana na serikali labda waasi au jeshi. Yani silaha kwa silaa sio silaha kwa mkono mtupu. Utatolewa utumbo bure na watu wataendelea na maisha.
Libya ilikuwaje?Wazungu wanaipa dunia tabu sana, wanaamini kila wanachoanzisha kinapaswa kufuatwa na kutekelezwa kokote duniani.
Dunia ya sasa imeharibika sababu ya demokrasia. Demokrasia ni nzuri lakini imesababisha matatizo sana.
Hivi kweli serikali yenye kila zana inawezaje kushindwa au kuangushwa na nguvu za wananchi ambao hawana silaha? Kama hii dhana inafanya kazi vizuri ingekuwa ishakomboa nchi kama Urusi,Uchina,Uganda na N. Korea na nchi nyingine ambazo demokrasia kwao ni mwiko.
Watu pekee wanaoweza kupambana na serikali labda waasi au jeshi. Yani silaha kwa silaa sio silaha kwa mkono mtupu. Utatolewa utumbo bure na watu wataendelea na maisha.
Dogo huyu yuko chuoItakuwa hujui maana ya neno people. Unaamini wanaobeba silaha siyo people bali ni robots
Kama sio huruma kwa wanyonge wangeendelea kutawala tu sababu nguvu walikuwa nazoUshindi katika mapambano siku zote ni matokeo ya ushirikiano "cooperation" zaidi kuliko silaha au wingi ndio maana unaona chama cha kikomunisti cha China(CCP) chenye wanachama milioni 95 tu kimeweza kuwatala watu bilioni 1.2 au Uingereza ambayo ni robo ya Tanzania tu kuna wakati ilitawala theluthi moja ya dunia katika kilele cha himaya yake.
Kwa hiyo nguvu ya umma inategemea kifo kama mkombozi wao?Magufuli alilindwa na mizinga na mabomu lakini kafa
Ubabe una mwisho wake kijana soma historia vizuri. Dola katilli zenye nguvu zilianguka wakati ulipotimu
Ccm nayo itaanguka tu
Punguza kibri na majivuno soma alama za nyyakati
Sio suala la nguvu, wao walikuwa wachache ila wenye ushirikianao zaidi miongoni mwao, makolini yao yalikuwa mengi na yenye watu wengi ila ambao hawana ushirikiano kati yao, wamegawanyika.Kama sio huruma kwa wanyonge wangeendelea kutawala tu sababu nguvu walikuwa nazo
RomaniaNchi gani serikali ilikuwa na silaha zote na bado ilishindwa na wananchi wasio na silaha bila huruma na kuangalia ubinadamu?
Czechoslovakia mwaka 1989Nchi gani serikali ilikuwa na silaha zote na bado ilishindwa na wananchi wasio na silaha bila huruma na kuangalia ubinadamu?
Kama unaluelewa hili; Quran ilishatoa mwongozo huu miaka 1400 iliyopita.silaha kwa silaa sio silaha kwa mkono mtupu. Utatolewa utumbo bure na watu wataendelea na maisha.