mkuu naona na wewe unaendeleza haya haya tunayosema hayafai - kwa nini UOMBE!! hakuna njia nyingine ya kupata unachokitaka hadi UOMBE!!Inaumiza sana kuona tunaenda kuomba vitu ambavyo wenzetu hawana haja navyo,ningeona la maana kama tungeomba kujengewa reli mpya na treni mpya,kwa hili tunadharauliwa sana na hawa wazungu
Kuna habari kwamba serikali yetu ya Jamhuri ya Tanzania imeiangukia ile ya Uingeleza (iliyotutawala miaka hiyo) watusaidie kutupatia mabehewa na vichwa vya train ambavyo hawavitumii.
Napata shida mno kuliafiki jambo hili, hivi ni kweli kabisa kwa karne hii ya 21 ya Sayansi na Technologia bado tunaomba vitu ambavyo wenzetu wameziona havifai kutumika kwa wananchi wao ila sisi ndiyo tunaona vinatufaa?
Kwa raslimali tulizonazo lukuki tunashindwa kujenga reli ya kisasa ya takribali km 1200 tu? naongelea hii moja tu ya Dar es salaam hadi Mwanza.
Je kuna haja ya kujivunia Uhuru wetu ambao umetimiza miaka 51 kama hata kujenga Reli ya km 1200 hatuwezi kuijenga?. maana hii tunayoitumia walitujengea Wajerumani enzi za utawala wao wa Tanganyika miaka takribani 100 na ushee iliyopita.
Je nikisema watanzania tunajiaibisha wenyewe na tunaziaibisha pia nchi za ki- africa kwa kuendekeza omba omba - yaani kutembeza BAKULI kwa wazungu nitakuwa nimekosea?
Hebu tufumbuane macho kama wazo hili lina mashiko.
Tumesikia leo serikali ya tanzania imeomba vichwa na mabehewa ya treni yaliyo tumika nchini uingereza, tena wanasemaa! Ambavyo hamtumii, ajabu sana huu si umasikini wakutupwa kabisa. Watanzania tumefikia hapo kweli na tunajua viongozi ni matajiri sana yaani wanaiba mpaka serikari inakosa hata hela ya kununua mabehewa ya treni? Alooo, inauma sana tanzania oyee
she n zi type! mburula original! mambo ymsingi unachangia kwa joke!pharon!!:tonguez:Kuna vitu vingine hata vikiwa used vinakuwa na manufaa. Ndo maana hata Dr Slaa karibu wachumba zake wote ni used lakini wanamfaa
Kuna vitu vingine hata vikiwa used vinakuwa na manufaa. Ndo maana hata Dr Slaa karibu wachumba zake wote ni used lakini wanamfaa
Wewe ulienae sio used?!Kuna vitu vingine hata vikiwa used vinakuwa na manufaa. Ndo maana hata Dr Slaa karibu wachumba zake wote ni used lakini wanamfaa
Mkuu, mbona magari yote mnayoagiza Japan ni used lakini yakifika hapa mnasema amenunua gari jipya?
Kuna vitu vingine hata vikiwa used vinakuwa na manufaa. Ndo maana hata Dr Slaa karibu wachumba zake wote ni used lakini wanamfaa
Wewe ulienae sio used?!
Tumesikia leo serikali ya tanzania imeomba vichwa na mabehewa ya treni yaliyo tumika nchini uingereza, tena wanasemaa! Ambavyo hamtumii, ajabu sana huu si umasikini wakutupwa kabisa. Watanzania tumefikia hapo kweli na tunajua viongozi ni matajiri sana yaani wanaiba mpaka serikari inakosa hata hela ya kununua mabehewa ya treni? Alooo, inauma sana tanzania oyee
Kuna habari kwamba serikali yetu ya Jamhuri ya Tanzania imeiangukia ile ya Uingeleza (iliyotutawala miaka hiyo) watusaidie kutupatia mabehewa na vichwa vya train ambavyo hawavitumii.
Napata shida mno kuliafiki jambo hili, hivi ni kweli kabisa kwa karne hii ya 21 ya Sayansi na Technologia bado tunaomba vitu ambavyo wenzetu wameziona havifai kutumika kwa wananchi wao ila sisi ndiyo tunaona vinatufaa?
Kwa raslimali tulizonazo lukuki tunashindwa kujenga reli ya kisasa ya takribali km 1200 tu? naongelea hii moja tu ya Dar es salaam hadi Mwanza.
Je kuna haja ya kujivunia Uhuru wetu ambao umetimiza miaka 51 kama hata kujenga Reli ya km 1200 hatuwezi kuijenga?. maana hii tunayoitumia walitujengea Wajerumani enzi za utawala wao wa Tanganyika miaka takribani 100 na ushee iliyopita.
Je nikisema watanzania tunajiaibisha wenyewe na tunaziaibisha pia nchi za ki- africa kwa kuendekeza omba omba - yaani kutembeza BAKULI kwa wazungu nitakuwa nimekosea?
Hebu tufumbuane macho kama wazo hili lina mashiko.
Kama suti tulipewa why not Treni na mabehewa??huo ndo uwezo wa kufikiria wa mkuu wa nchi,,sidhani kama mwakyembe aliafiki hilo!!!
NiNalifanyia kazi ombi lako niambie ukurasa wa ngapi,,by the way swala la kuomba treni chakavu haiitajia kusoma hata darasa moja hasa hasa kwa public use,,,unajua waingereza wameandika nini kuhusu hilo??Soma kitabu kimeandikwa "How Europe Under developed Afrika". Cha Walter Rodney. Utajua kwanini aliamua kuomba msaada wa tren chakavu.