Baaaasi tutasabahiana njiani maana lazima kieleweke tamaduni lazima zienziwe...Wameshaanda na vishushio vya mbege maana wageni wanatukubali sana hapo... Good zaidi ni kama sherehe ya wote
hayo yaache jamaa yangu, kuna TV za kisasa balaa, mil 4 ndo unaiweka ndani na nyumba iwe na hadhi ya kui-accommodate. Tuko mbali na dunia zitafika baadaye soko la ulaya likishuka.