Si umenikataa? Utaisoma kimyakimya

mimi pia nimekumiss ... life inaendaje lakin?
Life linaenda nyema sana as tunakaribia mwisho wa mwaka lazima tuwe na maandalizi ya kuwasilisha hesabu home.... Nategemea unafanyiwa hivyo pia if no gangamala
 
Life linaenda nyema sana as tunakaribia mwisho wa mwaka lazima tuwe na maandalizi ya kuwasilisha hesabu home.... Nategemea unafanyiwa hivyo pia if no gangamala
lazima niripoti kule yani hapa kiu ya mbege imenikaa kooni nahesabu siku tu hapa
 
Wanawake wanafuata magari nyumba nk hata kama wanadanganywa yawezekana ni vya nduguye tu.
 
Ukute tene tv yenywe ni ile ya utra uhd na zile series zao za ma vempire ahaa lazima upotezwe na vision zako
 
only broke niggas say money aint a thing
 
lazima niripoti kule yani hapa kiu ya mbege imenikaa kooni nahesabu siku tu hapa
Baaaasi tutasabahiana njiani maana lazima kieleweke tamaduni lazima zienziwe...Wameshaanda na vishushio vya mbege maana wageni wanatukubali sana hapo... Good zaidi ni kama sherehe ya wote
 
kuna kaukweli,ila television inaweza kukufanya ukawa na vision kwa kuangalia watu wenye vision kwenye television

mdukuzi nimeipenda hii.

Nitaifanyia kazi Mkuu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…