si sawa sumatra kupiga ban bajaj na boda boda town | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

si sawa sumatra kupiga ban bajaj na boda boda town

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Songambele, Nov 4, 2011.

 1. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Kama ilivyokawaida hili dude so called sumatra wamekuja na amri ya kuzuia bajaj na boda boda town.

  Napinga amri hii sababu jibwa l
  enyewe koko na aliwezi kusimamia amri zake, mara zote wanakuja na amri tata huku wakijua kabisa wanawaongezea ulaji traffic na mapikipiki tigo.

  Hawa jamaa hawana kitu inayoitwa wadau wao wanajifungia na kuja na amri. Wasichokijua ni bajaj na bodaboda ni ubunifu wa wananchi wenyewe kukabiliana na hadha ya usafiri.

  Sumatra na wengine wanajua wajibu wao ila kwa makusudi wanakichafua ili kichafuke, pia wanatumiwa na baadhi ya wafanya biashara na wanapoteza maana ya fair play wakiwa wao marefa.

  Zipo sababu zinazosababisha msongamano wa magari mjini, wawape wananchi mbadala wakati wakizuia. Kwa nini wasichaji watu wanaoingia town na vipando kwa kuweka road toll ili kuongeza mapato.
   
 2. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wenye biashara za bajaji inawabidi mtafakari na muwapunguzie vijana wenu hesabu za siku.
   
Loading...