MANGI MASTA
Senior Member
- Jul 14, 2011
- 175
- 56
upo sahihi kabisa mkuu, si afadhali wao wanaongea, kiongozi wako wa Nchio kishaomba air time akanyimwa? mbona yupo kimya, acha uamsho waseme kile wanachoamini, mimi nawashauri tu wasishambulie makanisa bali washambulie serikali na wanasiasakila mtu ana haki ya kutoa maoni na kusikilizwa...ndicho walichofanya itv
Habriya Leo saa mbili usiku
Kwa mujibu wa maadili ya vyombo vya habari hasa wakati huu wa amani tukiwa tumeiweka rehani si sahihi walivyofanya ITV
1.Kumpa airtime kiongozi wa uamshoo kutoa tamko lake la kuipa selikali masaa 26 na kuhamasisha uamsho wenzake kwa lolote litakalotangazwa.
2.Kumpa airtime mwislamu aliyekeamatwa ikulu kutamka yale maneno ambayo ni wazi yanahamisha hata wale ambao walikuwa wameamua kutulia majumbani kuingia mtaani kutetea kile wanachokiamini.
Kwa wakati huu vyombo vyetu vya habari vyapaswa kuwa makini sana.katika Agenda Setting na Framinig la sivyo tutabaki kuangalia biashara huku amani tunaipoteza.Ni ushauri

lazima waandishi wajifunze kutowapa hawa jamaa coverage kijinga na si hapo tuu wakiwa mahakamani,ilibidi isirushwe live kwani wanaweza jikuta wakitumiwa kuwafikishia hawa jama ujumbe bila jijua.