Si mmepinga viboko shuleni


Sasa tatizo letu ni lipi ? are we genetically ill fated!
 
Jeshini staili iyo inaitwa kunyonya mafuta.huyo ticha atakuwa alipitia JKT
 
Sasa tatizo letu ni lipi ? are we genetically ill fated!
Hamna genetics mbovu kwa mtu mweusi, tuna genes nzuri tu na brain zetu ziko sharp kiasi kwamba tukipata mafunzo vizuri duniani popote pale tunaweza compete, one strength na ambayo ndo weakness hiyohiyo ya mwanadamu ni kuadapt na mazingira, tayari mazingira yanayozunguka waafrika wengi yamejaa wajinga, watu wasio na elimu, watu wanaoshika imani na kusahau mengine yote, wanaozaliwa wengi wana-adapt hiyo hali, hivohivo ujinga unabaki kua constant, uvivu constant sababu ndo kitu kila mtu anafanya.

Ili kubadilisha hilo linahitaji kubadilisha mindset ya watu, watu wawe exposed na dunia, watu wabanwe kusoma, waonyeshwe kua imani nyingine ni upotezaji muda, mi nimekaa mjini enzi hizo niko mwanza, mtu anachimba dawa usiku mjini, hapo ni jijini huko wilaya za kawaida na vijijini je? Hatuna muda kudeal na details ndogondogo ambazo tunahisi si muhimu, mfano maji ya kunywa mashuleni, kitu kidogo ila mwanafunzi usiku anasoma akahisi kiu boarding akatoka akaenda kutafuta maji akakutana na watu wanapiga story akaunga ashakua distracted siku imepita kavu hiyo na hujui siku hiyo ambacho angekisoma kingemsaidia wapi...unataka unambie serikali imeshindwa hata kuweka water dispenser moja tu kwenye some schools, vitu vidogo ila we dont think enough tunavichukulia juu juu tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…