mbele ya mwalim wa nidhamu.....
Hata awe nani.Mie nilikuwa nina kiburi sana

Hata kwa dawa sifanyi hiyo adhabu
Hata awe nani.Mie nilikuwa nina kiburi sana
African stupidity, pamoja naviboko na adhabu za kijinga still hamna nidhamu wala hamna maendeleo kielimu, wanaograduate asilimia kubwa vichwa vibovu hamna wanachojua hata hesabu ndogo zinapiga chenga. Hahaha yani ukiona hivo jua sytem nzima ni mbovu tunachofanya tunakosea.. I feel sorry for the black man!! tutaendelea kuwa wajinga hadi lini

Unaona fahari kuwa na kiburi?
Kumbe kiburi nacho ni sifa ya kujivunia?!
hata sasa hivi still unakibri jasiri haachi asili
Hujakutana na mwalimu Mimi....
Kumbe kiburi nacho ni sifa ya kujivunia?!
Ngozi nyeusi imelaaniwa mpaka huyo "Mungu" aiangamize aumbe upya! (kama uumbaji upo anyaway!). Ngozi nyeusi narudia ni laana