Si mmemchukulia fomu 2025, msitusumbue!

Nchi yetu inazidi kudidimizwa kwenye dimbwi la ufukara wa fikira kutokana na hiki kizazi kipya kinacho itwa MACHAWA,na wakubwa wameshapata advantage/faida.
 
Nchi yetu inazidi kudidimizwa kwenye dimbwi la ufukara wa fikira kutokana na hiki kizazi kipya kinacho itwa MACHAWA,na wakubwa wameshapata advantage/faida.
Na hawana aibu, ingekuwa nchi zamkiislamu machawa wangeshatangulizwa waksheherekee na mabikra 72.
 
Wajinga hawa. Kuna haja gani ya kukaa shule kama hata haki zako huzijui?
 
Wajinga wakubwa mmemchangia fomu ya Urais halafu kawakimbia Leo kwenye sherehe yenu. Safi Sana.
 
Acheni ubaguzi,

Hawakufanya Kwa ridhaa Yao, Bali shinikizo Kwa viongozi wao,

By the way may mosi Si ya walimu pekee.

Hata wafanyakazi Private sector inawahusu.
 
...................TUKAFIE MBELE......πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huu ujumbe wameandika chadema kabisa 😑😑😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…