Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Tena Ukitaka ugomvi uishe mapema zaidi mlale kwenye kitanda cha Tatu Kwa NNE, kama vile vya Secondary au Chuo. Yaani ukigeuka hapa tu umeshamgusa, halafu unakuta mmelala uchi, lazima tu nasema lazima tu ugomvi utaisha. Vile vitanda ni nouma
Niliwahi kusikia kwmb mara nyingi wapenzi wanapogombana, au kuwa na mvutano, inapotokea wamefanya mapenzi basi ugomvi ule huwa umefikia mwisho.
Kwani haiwezekan ukasex na mtu hata akiwa amekuzingua lakini ugomvi ukaendelea???
Nadhani kwetu sisi wanaume, unaweza ukawa na hamu hata kama binti kakuboa ukala mzigo, na bifu likaendelea kama kawa hasa kutokana na jinsi alivyojiweka, anaweza akaamsha hisia zako za mapenzi na ukala mzigo
Hauwezi kushiriki tendo la ndoa bado ukabaki na hasira yako,never.
Kwanza unapokaribia ku- ejaculate huwa kuna kanatengenezwa kaupendo ka bandia na kujishitukia unamkumbatia kwa furaha huyo "mbaya" wako na kuanza kumbembeleza na kumuomba msamaha kwa makosa yake.
Jinsi ejaculation inavozidi kusogea, ndivyo unavyozidi kuungama na kuahidi kuwa hayo yameisha , umemsamehe kwa kuwa unampenda mno kuliko anavyodhania yeye
Sasa naye huyo mbaya wako akigeuka Delila kukueleza kuwa wewe ni muongo na haumpendi, atakuwa kakumaliza. Maana uthibitisho wa upendo wako kwake utauthibitisha kwa kiapo. Na kama wazungu ndiyo watakuwa wamefika mlangoni, waweza thibitisha kwa ahadi ya kumgawia nusu ya mali zako huku ukilia.
Kilio hicho utakachotoa hakitakuwa na msaada toka kwa mtu mwingine yeyote. Isipokuwa ni wewe huyohuyo peke yako na juhudi zako unatakiwa ujitahidi kuwasukuma wazungu hao watoke.
Sasa nikuulize ahadi zote hizo tena kwa kia
Hyo aya ya mwisho ni ukweli mtupu!sisi wanaume sio viumbe wa mchezo mchezo!Niliwahi kusikia kwmb mara nyingi wapenzi wanapogombana, au kuwa na mvutano, inapotokea wamefanya mapenzi basi ugomvi ule huwa umefikia mwisho.
Kwani haiwezekan ukasex na mtu hata akiwa amekuzingua lakini ugomvi ukaendelea???
Nadhani kwetu sisi wanaume, unaweza ukawa na hamu hata kama binti kakuboa ukala mzigo, na bifu likaendelea kama kawa hasa kutokana na jinsi alivyojiweka, anaweza akaamsha hisia zako za mapenzi na ukala mzigo