Naam. Usisikitike. Wala usilie. Sio kosa lako. Wala sio lake. Akikuona unamkumbusha mpenzi wake wa zamani. Japo hujamfanya lolote anakuona kama vile wewe ndiye uliyemuacha hivyo na kumuumiza. Kisa unaongea, unacheka na unamjali kama huyo mpenziwe aliyebwaga manyanga. Tuliza mtima. Hukuamua ufanane naye. Ndivyo ulivyo. Vumilia.
Last edited by a moderator: