Si Jangwani tena, ni CHADEMA square!

Makitauo

Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
99
Reaction score
21
Kamanda wetu Mbowe katangaza kuanzia leo uwanja wa jangwani palipofanyika mkutano leo pataitwa Chadema square.



Sehemu ya umati uliohudhuria
 
Yap kuanzia leo pale ni jangwani ni CHADEMA SQUARE.

big up Mbowe kamanda wa anga.
 
Kuanzia leo Jangwani pataitwa Kanda ya kaskazini square, nadhani hii imekaa vizuri kwa wale waNapelism.
 
Mnajua jna la jangwani limetokana na nini? Tuachieni historia yetu.
 
Wana Yanga hatujakubaliana na hilo. mnataka sasa tuwe Yanga ya chadema skuwea hatujakubali hilo. hamjajua sie ni CCM eeh...
 
Yanga tumeafiki, ni "chadema skweya". Kuanzia leo jina hilo limepita, yaani vinega tulijaa hakunaga
 
Mr Sugu nae kasema kutamka
sisiem unajijumuisha na wewe hivyo tuwe tunawaita NYINYIEM.
.
 
New name tutali2mia patakuwa kama pale misri tahariri! Mambo mazuri hayo, ccm hawawezi kuujaza hata wakisomba watu na malori.
 
Pipoz powaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....Dar hiyo taratibu inaponyoka mikononi mwa magamba.

Alutta continua! continua!

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…