Huyu Shayros...ndio jina linavyoandikwa! ( Sijui nani alimdanganya kuandika with a "y")
Hizi mbio anazokimbilia kila kona mara atake ukamanda ,mara sijui anataka viti maalum vya UWT..mara sasa anataka ubunge wa jimbo....ni kwa manufaa ya nani???? Hakuna namna nyingine ya kutumika? Sina chochote dhidi yake na tena ni shosti wangu kwa saaaana lakini simuungi mkono kwenye hili maana kuna jambo zaidi ya tunaloliona.
Kinondoni kaeni chonjo!