Shutuma za Kitwanga: Mkuu wa kaya amefunika kombe mwanaharamu apite!

Najiuliza kidole kikomba mboga kitaacha kweli kufyeka mboga????
 
Magu hasomeki,hili la lugumi analifahamu ila kakaa kimya tu!Uzalendo uko wapi
 
Kwa wenye akili timamu watafahamu bila shaka kwamba kuondolewa kwa Kitwanga ni kufunika kombe Lugumi apite, hivyo watanzania tunapaswa kujikita kufahamu nini kinafichwa kwa Lugumi ameondolewa yule kwa mipango ya kisanii ili Lugumi asahaulike.

Lakini niwaombe wabunge wetu wa upinzani wakaze buti mabilioni hayo yasipotee kinyemela tu..

Tushirikiane kupambana na ufisadi hivyo ishu hii imegusa kwa mkuu sasa huenda imechengeshwa kihivyo sasa huu sio mwanzo mzuri wa kupambana na tabia ya CCM ya ufisadi.

Pia nimwombe Rais wetu mpendwa asikate tamaa aendelee kupambana na wala rushwa na ikibidi atuwekee bunge live ili mapambano yawe bora zaidi kuliko kufanyia gizani.

Ninakuunga mkono ktk mapambano haya ila ruhusu mapema bunge live ili wananchi tufahamu wawakilishi wetu wana nia gani na sisi.
Jomba naona umekurupuka na makala yako. Au sakata hili hukulifuatilia toka mwanzo.
Wapinzani walipaza sana sauti zao kwamba Kitwanga ajiuzuru kupisha uchunguzi wa sakata la Lugumi. Hatimae katoka. Sasa ni nafasi huru ya kulifanyia uchunguzi sakata hili.
Kumbuka lema mbunge wa Arusha mjini alinukuliwa akimwambia Kitwanga tatizo sio Lugumi bali anatafutwa yeye.
Ndio maana lugumi kama imepoa kimtindo.
Hii Ndio siasa ya bongo, maslahi mbele, kutumikia mabwanyenye kwa interesting zao.
Wanasiasa ni kundi mojawapo linalotumiwa na mabwanyenye.
Take care guy!
 
Anafunikaje kombe wakati kuna Kamati ya bunge inayofuatilia hiyo Lugumi? Kwanini watanzania tumekuwa ni mijadala ya hovyo kiasi hiki?
 
Nadhan magu alimvua ile nyadhifa ili wale waliodai wana ushahidi wa dhahiri kw bwana kitwanga juu ya sakata la lugumi kumuwajibisha kirahisi
 
Lugumi iko mikononi mwa kamati ya bunge sasa nyie mnaotaka magufuli aingilie kati haraka mbona hampendi utaratibu ufuatwe? kiherehere cha nini?
 
sikia usani wa CCM bado upo pale pale usifikili utakwisha lahasha kumbuka ...CCM ni ile ile ooooh ni ile ileeee......
kwa nini wakati wabunge wa upinzani wakitaka aondolewe haikufanyika hivyo? sasa hili la maigizo ya pombe hata siku haikuchukua je huoni hapo hakuna dhamira yoyote ya kupambana na rushwa na ufisdi ni usanii mtupu tabia hii ndio imekifanya chama chetu CCM kuwa jiko la kuandaa mafisadi na wala rushwa kwa kulindana.
tazama bunge linavyoendeshwa limewekwa gizani ili nchi izidi kuibiwa vya kutosha gizani na sauti za watchman(upinzani) zisisikike kwa wananchi. bunge limeingiliwa na sasa kazi ya mibunge ya chama chetu CCM ni kutetea serikali hata kwa mambo ya hovyo!

Jomba naona umekurupuka na makala yako. Au sakata hili hukulifuatilia toka mwanzo.
Wapinzani walipaza sana sauti zao kwamba Kitwanga ajiuzuru kupisha uchunguzi wa sakata la Lugumi. Hatimae katoka. Sasa ni nafasi huru ya kulifanyia uchunguzi sakata hili.
Kumbuka lema mbunge wa Arusha mjini alinukuliwa akimwambia Kitwanga tatizo sio Lugumi bali anatafutwa yeye.
Ndio maana lugumi kama imepoa kimtindo.
Hii Ndio siasa ya bongo, maslahi mbele, kutumikia mabwanyenye kwa interesting zao.
Wanasiasa ni kundi mojawapo linalotumiwa na mabwanyenye.
Take care guy!
 
Uzalendo wa Mbowe uko wapi kumficha fisadi kwenye nyumba yake?

Wewe ni yule uncle anayabeba watu migongoni wakati wa mafuriko na kujibebesha mabox ya madawa nini? Uandishi wako mwingi unafanana ni hizo tabia za kutaka kuonwa au kusikiwa na mkulu
 
Back
Top Bottom