Shut Down ya Window 8

Wingu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,318
Reaction score
409
Wakuu nikibonyeza shutdown ya window 8 inazima.Lakini nikinyanyua kioo cha laptop computer inawaka yenyewe.Je hii maneno ni normal kwenye win 8 au mambo hayajakaa sawa.Manake Power button ya laptop haitumiki kabisa
 
Ebu weka mtiririko unaotumia mpaka unafikia kwenye kubonyeza shutdown ya Windows 8.
 
Kwa windows 8 hiyo ni kawaida mkuu ni default setting, ila kama unataka kubadilisha basi disable hybrid boot.

Under hybrid shutdown, the hardware "thinks" it's hibernated, not shut down. When hibernated, must laptops auto resume when the lid is opened, but in case you want to disable it, you can do that from the control panel

Kindly follow the below mentioned steps in order to enable or disable Windows 8 Hybrid Boot :

  • Open Control Panel.
  • Navigate to Hardware and Sound, then to the Power Options.
  • From the left pane, click : Choose what the power button does.
  • Click on Change settings that are currently unavailable.
  • Now at the bottom, you will be able to enable or disable hybrid boot.
Kwa maelezo zaidi tembelea hapa

Thanks
 
Attachments

  • win 8.jpg
    43.4 KB · Views: 65
Mkuu unaenda right side utakuta power hapo utaclick itakupa option tatu.Na click shutdown computer itazima.Sasa tatizo nililonalo ni kuwa nikinyanyua kioo cha laptop computer inajiwasha yenyewe.Sasa ndo swali langu nikauliza hii Hali ni ya kawaida?
Ebu weka mtiririko unaotumia mpaka unafikia kwenye kubonyeza shutdown ya Windows 8.
 
Mkuu unaenda right side utakuta power hapo utaclick itakupa option tatu.Na click shutdown computer itazima.Sasa tatizo nililonalo ni kuwa nikinyanyua kioo cha laptop computer inajiwasha yenyewe.Sasa ndo swali langu nikauliza hii Hali ni ya kawaida?

Mkuu Mzinga, kama nilivyopost hapo juu, hiyo ni kawaida kwa windows 8, ila kama unataka kubadili unaweza fuata haya maelezo ku disable hybrid boot.

Open Control Panel.
Navigate to Hardware and Sound, then to the Power Options.
From the left pane, click : Choose what the power button does.
Click on Change settings that are currently unavailable.
Now at the bottom, you will be able to enable or disable hybrid boot. By default kuna tiki hapo, ukitaka kudisable iondoe hiyo tiki.
 
Window Xp ndiyo mpango mzima. Yaani naifananisha na Land rover 110. Haina mbwembwe!
 
Ebu weka mtiririko unaotumia mpaka unafikia kwenye kubonyeza shutdown ya Windows 8.

Mkuu unaenda right side utakuta power hapo utaclick itakupa option tatu.Na click shutdown computer itazima.Sasa tatizo nililonalo ni kuwa nikinyanyua kioo cha laptop computer inajiwasha yenyewe.Sasa ndo swali langu nikauliza hii Hali ni ya kawaida?

Wakuu nikibonyeza shutdown ya window 8 inazima.Lakini nikinyanyua kioo cha laptop computer inawaka yenyewe.Je hii maneno ni normal kwenye win 8 au mambo hayajakaa sawa.Manake Power button ya laptop haitumiki kabisa

Labda Mzinga Windows 8 zinatofautiana!

Huo mtitiriko wako ni tofauti na ninaoutumia.
Mi kuna njia mbili za kuzima,
Ya kwanza ni
1. kupeleka KASA upande wa juu kulia,
2. alafu naclick SETTINGS,
3. naenda kwenye POWER naclick
4. itafunguka, alafu nachagua SHUT DOWN, PC itazima

Ya pili ni
1. kupeleka KASA upande wa juu kulia,
2. naclick START
3. naenda kwenye ACCOUNT NAME labda(Mzinga) naclick
4. Nachagua SIGN OUT naclick
5. Alafu napeleka KASA chini upande wa kulia naclick POWER
6. itafunguka, alafu nachagua SHUT DOWN, PC itazima
 
Last edited by a moderator:
bonyeza alama ya bendera(windows)+ i hapo utapata shortcut ya kuzima.
ukitaka kurahisisha mambo zaidi:
right click kwenye desktop halafu chagua create new shortcut.
Now right-click in the file pane and select New, them Shortcut.
In the box marked "Type the location of the item:" type "shutdown /s /t 0" (without quotes), then click Next.
Now name this shortcut to "Shut down" by typing in the box provided and click Finish. Now you can right-click on your new shortcut and select "Pin to Start" to make it appear on the Start page and/or "Pin to Taskbar" to make it appear as a button on your taskbar. Be careful, as clicking it will effect an immediate shutdown with no chance to back out.

​
 
Wakuu nikibonyeza shutdown ya window 8 inazima.Lakini nikinyanyua kioo cha laptop computer inawaka yenyewe.Je hii maneno ni normal kwenye win 8 au mambo hayajakaa sawa.Manake Power button ya laptop haitumiki kabisa

Hvyo ndvyo ilivyo window 8. Hata mimi nilijua kuna k2 hakiko sawa. But ktk kuulzia ktk website yao wakanijibu kuwa ndvyo ilivyo ila kama unaona unataka kubadili kuna option unatakiwa uingie ili ubadil. Nazan kuna jamaa amejibu sawa jins ya kubadil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…