Shuleni mwaka 1930

Duh hiyo kali inamaana hiyo ni enzi za Nyerere?
 
Ha ha ha! Wako uchi mbona? Hata teknolojia ya magome ya miti hawakuwa nayo? Anyways, huku Tanzania kuna sehemu hata teknolojia hiyo ya madawati ya mwaka 1930 haijafika, watoto wanasomea chini.
 
Tunaomba kujua ukweli wa hili jambo make mambo mengine ni kama kuidhalilisha serikali na hata wananchi wake.
 
Elimu ilikuwa ngumu sana ila naona madawati yalikuwa yanatosha.

Alafu dunia ya leo watu wazima wanawakalisha watoto chini kwenye vumbi?
2015-1930= 85yrs iliyopita?

CC @Simbachawenen (Waziri Tamisemi)
 
Huyu babu wa nyuma hapa ana kitambi flani. Maisha yalikuwa mazuri saana kwao.

Watoto wa machief tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…