Shule

Shule

nenda pande za tanga kuna skul moja iv inaitwa PROPATLAL hii ina michepuo ya sayansi.
ipo maeneo ya jiji la tanga
 
nenda pande za tanga kuna skul moja iv inaitwa PROPATLAL hii ina michepuo ya sayansi.
ipo maeneo ya jiji la tanga

Ni Popatlal ipo maeneo ya Tanga mjini raskazone ushauri wangu usiende kusoma jiji la tanga kwani ushindani mdogo sana umwinyi na udini ni mwingi sana
 
njombe sec school combination zote za science zipo
shule ina ubora wa hali ya juuu
walimu wa kutosha
mazingira ni rafiki sana kwa kujisomea
 
Back
Top Bottom