Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
Habarini wakuu!
Kuna hizi shule zinazoitwa "Shule za wanafunzi wenye Vipaji vya kipekee vya kiakili."
Kigezo pekee kinacho tumika kudahili wanafunzi huko ni "national exams".
Nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa:
1: Hivi ni kweli wanafunzi wanao soma,au walio wahi soma huko wana "vipaji vya kipekee vya kiakili"?
2: Kama jibu 1 ni ndiyo,mazingira gani yamewekwa katika shule hizo,ya kuweza kukuza "vipaji vya kipekee vya kiakili vya wanafunzi hawa?
3: Pia kama jibu na 1 ni ndiyo,kwanini baadhi ya wanafunzi wanatoka na div two au div three,ambazo ni common kwenye shule za kawaida?
4: Kuna empirical evidence yoyote ya product toka shule hizo i.e. Mzumbe,Kibaha,Ilboru na Kilakala kuwa na utendaji/ubunifu ulio tukuka after school?
[nimeziacha Tabora boys na Kisimiri kwani ni special za hv karibuni.]
Karibuni kwa mjadala.
Hivi kufaulu mitihani sio kipaji?
1: Hivi ni kweli wanafunzi wanao soma,au walio wahi soma huko wana "vipaji vya kipekee vya kiakili"?
2: Kama jibu 1 ni ndiyo,mazingira gani yamewekwa katika shule hizo,ya kuweza kukuza "vipaji vya kipekee vya kiakili vya wanafunzi hawa?
3: Pia kama jibu na 1 ni ndiyo,kwanini baadhi ya wanafunzi wanatoka na div two au div three,ambazo ni common kwenye shule za kawaida?
4: Kuna empirical evidence yoyote ya product toka shule hizo i.e. Mzumbe,Kibaha,Ilboru na Kilakala kuwa na utendaji/ubunifu ulio tukuka after school?
nimeziacha Tabora boys na Kisimiri kwani ni special za hv karibuni.
Walikuwa wanataka kuandaa akina Newton, Albert na Galileo. Basi tu project haiku-mature ila lengo lilikuwa sahihi.
Kwa hiyo ni "vipaji maalum" kwenye masomo tu?Ni ngumu kujibu moja kwa moja NDIO au HAPANA isipokuwa asilimia kubwa ya wanafunzi hao wana vipaji vya pekee vya kiakili, huenda ikawa ni kwenye somo moja pekee au baadhi ya masomo au yote.
Is this fair?Kitu pekee ambacho shule hizi zimekuwa nacho au zilikuwa nacho ni ile ushindani, hamasa na molari wa wanafunzi kutaka kufikia malengo au ndoto zao za maisha ya kielimu.
Walimu wenye vipaji wapo aisee!Mitaala inayotumika huko ni ile ile itumiwayo na shule nyinginezo, waalimu ni wale wale (by the way hakuna waalimu wenye vipaji maalumu vya kiakili hahah).[
Ni ushindani, kujituma na molari tu wa wanafunzi ndio chanzo kikuu cha ufaulu kuwa mkubwa.
Wengi wa wanafunzi wanaopelekwa shule hizi wanajua kuwa wapo uwanja wa vita na itakuwa ni dhuluma kwa nafsi zao wasipotumia fursa waliyopata.
Kuna sababu nyingi mkuu, baadhi ya mambo ambayo nilipata kuyaona wakati huo ni;
1. Kubweteka kwa baadhi ya wanafunzi.
2. Ugumu wa matumizi ya lugha haswa kwa wanafunzi wanaotoka sehemu za vijijini kiasi kwamba njia pekee watumiayo ni kukariri.
3. Kuendekeza starehe maana shule zote za vipaji ni za bweni.
4. Ufukara (wanafunzi wenye uwezo walikuwa wakisoma masomo ya ziada aka tuition wawapo likizo).
Wapo wengi tu mkuu isipokuwa wengi ni underdogs na wengine wapo ughaibuni wakifanya mambo yao huko.
Mkuu,T.Boys imepewa hadhi ya u special miaka ya 2000's!Mkuu umeikosea sana heshima Tabora Boys kuiita ni shule ya vipaji ya karibuni, kumbukumbu zangu zinaonesha hiyo ndio ya kwanza kuliko nyinginezo.
Kwa hiyo ni "vipaji maalum" kwenye masomo tu?
Kwa hiyo ni "vipaji maalum" kwenye masomo tu?
Is this fair?
Nimebahatika kusoma miaka 6 huko, MZUMBE o level,then Kibaha A Level,nilipo htm miaka kadhaa ilopita.
Wanafunzi wanaachwa kama kuku wa kienyeji,sylabi haziwi covered,then wanasoma kupita kiasi [hata wengine huchizika]
Walimu wenye vipaji wapo aisee!
Namkumbuka Wibonele Mz [RIP] na Sir Mgina KBH,LOL!
Mkuu,T.Boys imepewa hadhi ya u special miaka ya 2000's!
Katika hizo shule wengi wao wana vipaji vya kubeba maandishi/kukariri kwa kiwango kikubwa sana.
Kwa kuwa umeamua kuamini hivyo basi sawa...
nani amekuuliza hilo swali unalojibu hapo acha umang'aataboraboys ndio special ya kwanza tanzania