SAKO LA NYANI
New Member
- May 17, 2013
- 3
- 1
Hizo zingine umeziongeza siyooo. Shule za ufundi haswaaaa zilikuwa hizi zifuatazo:Zipo wapi shule zetu?
Ipo wapi Moshi tech?
Ipo wapi Tanga Tech?, Ifunda Tech?, Bwiru Boys, Musoma Tech n.k..
wewe ni waziri wa elimu?stroke najaribu kuangalia kama naweza kuanzisha special program kwenye high school zaidi kitu kama vocational high school ktk software program za oil and gas operations ili mtoto akimaliza high school awe na soft and hard skills za kufanyia kazi i would be curious to get your views on this.
Mkuu inavyoelekea hilo ni eneo lako la utaalam. Ingawa ningependa kuona ukipanua ufahamu wako kwa kuangalia namna ya kutoa ufundi wa mafunzo ya msingi ya awali ili kila mhitimu awe na uwezo wa matumizi teknolojia ya teknohama katika nyanja mbalimbali, ukitilia mkazo na hilo.stroke najaribu kuangalia kama naweza kuanzisha special program kwenye high school zaidi kitu kama vocational high school ktk software program za oil and gas operations ili mtoto akimaliza high school awe na soft and hard skills za kufanyia kazi i would be curious to get your views on this.
fafanua kidogo unamaanisha eneo gani microsoft ofice such as powerpoint, excell & word!!!Mkuu inavyoelekea hilo ni eneo lako la utaalam. Ingawa ningependa kuona ukipanua ufahamu wako kwa kuangalia namna ya kutoa ufundi wa mafunzo ya msingi ya awali ili kila mhitimu awe na uwezo wa matumizi teknolojia ya teknohama katika nyanja mbalimbali, ukitilia mkazo na hilo.
Mpaka mwishoni mwa miaka ya 1990s shule za umma za ufundi zilikuwa kama ifuatavyo;Hizo zingine umeziongeza siyooo.... shule za ufundi haswaaaa zilikuwa hizi zifuatazo..
1. Ifunda Technical Secondary School
2. Tanga Technical Secondary School
3. Mazengo Technical Secondary School
4. Mtwara Technical Secondary School
5. Moshi Technical Secondary School
Naomba kuleta mada hii ubaoni wadu japo tupate kujadili kwa mapana.
Nakumbuka kipindi nasoma sekondari miaka ya 90's ,mnapofika darasa la saba karibu na kumaliza kunafomu tulikuwa tunazijaza kama sikosei zilikuwa zinaitwa TSM9. Pale tulikuwa tunajaza shule ambazo mtu ungependa uchaguliwe kwenda kuendelea na masomo ya sekondari.
Nakumbuka tulikuwa tunachagua shule za sekondari mbili naya ufundi moja, nahata matokeo yalikuwa yakitoka unakuta kuna waliochaguliwa kwenda sekondari za kawaida na wale wanaokwenda shule za ufundi kama Mtwara Tech, Moshi Tech, Ifund Tech, Tanga Tech nk.
Na wanafunzi waliokuwa wakitoka kwenye hizi shule baada ya kumaliza form four walikuwa ni mafundi wazuri tu na hata wengine waliobahatika kwenda kusomea ualimu ndio walikuwa walimu wazuri sana wa masomo ya sayansi katika shule zetu za sekondari wakati ule kama Azania, Ilboru, Kibaha nk, lakini leo hii hizi shule hata hazipo tena kwenye nyuso za wanataaluma.
Swali langu kwa serikali ni je imeshindwa kuziendeleza hizi shule za ufundi? Na pia kwa maanguko haya ya matokeo ya kidato cha nne kwa miaka ya karibu hasa katika masomo ya sayansi serikali inajifunza nini kapo.
Pia shule hizi zilikuwa zinawafanya vijana wengi wanaotoka kwenye hizi shule waweze kujiajiri wenyewe hata kama hawakufanikiwa kuendelea na masomo ya juu zaidi.
Inaniuma sana kuendelea kuandika kwani hizi shule zilikuwa zina tija kubwa sana kwa taifa letu la Tanzania.