Katika Kile kinachoonyesha kuwa CHADEMA inakwenda kuchukua dola 2015, Shule za sekondari zinazomilikiwa na Serikali zimeanza kuikumbatia CHADEMA.
Katika hali isyotarajiwa, kamati ya shule ya Sekondari ya Minaki imempitisha Mbunge wa Mbozi Magharibi kuwa Mgeni rasmi wa mahafali ya hamsini na nne yaliyofanyika leo shuleni hapo. Ikumbukwe kuwa Shule ya Minaki ni miongoni mwa shule kubwa Tanzania iliyotoa viongozi wengi wa serikali na CCM. Akihutubia Shuleni hapo, david Silinde alisema kuwa kuna haja ya kubadilisha mfumo wa elimu uliopo. licha ya shule hiyo kuwa kongwe hapa nchini, imebakia kuwa magofu ya wakoloni huku ikitelekezwa na Serikali ya CCM. Mbunge wa Kisarawe amehahidi maji ya uhakika chuoni hapo, huku Mgeni rasmi Mh. David Silinde akichangia fedha taslimu shlingi Milioni mbili pamoja na mambo mengine.
Huku akishangiliwa na wanafunzi hao, amesema kuwa wasubiri neema zaidi mwaka 2015 punde CHADEMA itakapochukua dola. hata hvivyo amehahidi kufikisha kilio chao katika kambi rasmi ya upinzania pamoja na kikao cha Bunge kinachokuja. katika hali ya kushangaza, Mbunge wa Kisarawe alizomewa na wanfunzi hao hali iliyomlazimu kuondoka haraka sana akisingizia kuwa ana vikao vya halmashauri. hata hivyo, Afisa Elimu wa Wilaya aiyekuwa mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaaya ya Kisarawe alisema kuwa leo hakuna kikao chochote cha Halmashauri, hajui kwanini Mbunge huyo aliamua kuwadanganya umati hwote huo.