shule za private tuanze kulipa ada?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
385
kutokana na tamko la serikali la kutoa ada elekezi kwa private schools,wengi wa wazazi wenye watoto wanaosoma kwenye shule hizo walivuta subira kungoja utekelezaji.shule nyingi zinafunguliwa jumatatu,je wazazi waanze kulipa au kuna ada elekezi zitatangazwa?
 
Hivi nyie wakati mnawapeleka hao watoto wenu kwenye shule za Mamilioni hamkuziona shule za Serikali/bei nafuu au Serikali ndio iliwalazimisha kuwapeleka huko?kama hauna uwezo huo mwamishe mwanao,full stop.
 
mfumo wa elimu uliokuwepo ndio ulitufanya tupeleke watoto private schools, shule za akina kayumba zilikuwa hazitoi elimu bora,hivyo pamoja na uwezo mdogo tukajitutumua kuwapeleka shule za kulipia ili wapate elimu bora
 
Naona wameanza ku harmonise ratiba ya kufungua na kufunga shule private na government vuta subira
 
Hivi nyie wakati mnawapeleka hao watoto wenu kwenye shule za Mamilioni hamkuziona shule za Serikali/bei nafuu au Serikali ndio iliwalazimisha kuwapeleka huko?kama hauna uwezo huo mwamishe mwanao,full stop.
wanataka kujua k hizo ada elekezi kwa ajili ya kuandaa bajeti ya kusomesha watoto kwenye hizo shule binafsi. Tatizo sio pesa kama wangekuwa hawana pesa wangwapeleka shule za serikali. Siunajua kudai refund inachukua muda, sio hapo kwa hapo.
 
kwa kweli kuna 2.500,000 hapa inatakiwa ilipwe kwa mwaka huu tu ada nashangaa sana inakuwaje.
 
Back
Top Bottom