Kama mzazi,jiridhishe wewe mwenyewe kabla hujampeleka mwanao shule Fulani. Kama una mashaka au taarifa za shule haziko wazi, tafuta shule nyingine.Habarini wana jamvi. Natarajia kumpeleka kijana wangu wa kiume kuanza kidato cha kwanza utakapoanza mwaka 2017 lakini naomba mchango kuhusu shule hii kwa walio na uzoefu nao najua ni shule ya dini na matokeo ya necta nimejaribu kuangalia kidogo. Nahitaji mchango kwa waliopitapita hapo nachelea kuwa pesa yangu isije potea bure wakati nina uhuru wa kwenda mahala pengine. Karibu mchangie
mpeleke Kilinjiko kijana wako.Mpeleke umoja sec school igunga..sema wana kamtihan ka kumpima kabla ya kuingia
Tupia hapa hapa na sisi tupate faida.Nitafute inbox nikueleze kwa kina,
Nmesoma hapo
Usithubutu!! Ile shule iko hovyo sana kitaaluma. Labda kama unataka akajifunze dini.Habarini wana jamvi. Natarajia kumpeleka kijana wangu wa kiume kuanza kidato cha kwanza utakapoanza mwaka 2017 lakini naomba mchango kuhusu shule hii kwa walio na uzoefu nao najua ni shule ya dini na matokeo ya necta nimejaribu kuangalia kidogo. Nahitaji mchango kwa waliopitapita hapo nachelea kuwa pesa yangu isije potea bure wakati nina uhuru wa kwenda mahala pengine. Karibu mchangie
Mpeleke shule zinazojulikana. Hiyo shule japo ni ya kidini lakini bado ipo chini sana kitaaluma, pia nafikiri bado wanajipanga.Habarini wana jamvi. Natarajia kumpeleka kijana wangu wa kiume kuanza kidato cha kwanza utakapoanza mwaka 2017 lakini naomba mchango kuhusu shule hii kwa walio na uzoefu nao najua ni shule ya dini na matokeo ya necta nimejaribu kuangalia kidogo. Nahitaji mchango kwa waliopitapita hapo nachelea kuwa pesa yangu isije potea bure wakati nina uhuru wa kwenda mahala pengine. Karibu mchangie