Hii itakuwa Dar Es salaam Christian Seminary.
Chimmy na nduguze
R.I.p Mzee Mugarura
Dar Christian haina zahanati bado nafikiria hapa itakua ipi maana mtego upo kwenye hiyo zahanati na sidhani kama kweli ipo hiyo zahanati naona wameweka ili kulinda isifahamike kwa urahisi wameondoa kanisa wamesema zahanati
Endelea kujiuliza mkuuAu itakuwa Kizumba ?
Wewe wasema mkuuDar Christian haina zahanati bado nafikiria hapa itakua ipi maana mtego upo kwenye hiyo zahanati na sidhani kama kweli ipo hiyo zahanati naona wameweka ili kulinda isifahamike kwa urahisi wameondoa kanisa wamesema zahanati
Asante sana mkuuBiashara njema mkuu, japo watu wanajiuliza ya hapa na pale lakini ni kawaida sana jambo linapokuja hadharani.
Ila kwa nyakati tulizo nazo na mfumo tulio nao hii biashara imekua ngumu sana kwa upande wa secta binafsi.
Kama ingekua enzi zile wala tangazo usinge lileta hapa.
Lakini hebu jaribu kuongea faragha na wenye kufanya kazi hio labda taasisi za dini, benk na hata serikali, yote ya yote nakutakieni mafanikio.
Soma uzi wangu kwa chini niliweka bei.
Sio St Mathew!!Dar Christian haina zahanati bado nafikiria hapa itakua ipi maana mtego upo kwenye hiyo zahanati na sidhani kama kweli ipo hiyo zahanati naona wameweka ili kulinda isifahamike kwa urahisi wameondoa kanisa wamesema zahanati
Duuh hapana mkuuSio St Mathew!!
Mkuu acha kujidharau, zoea kujitamkia kuwa unaweza kupata chochote maana kuna nguvu na siri kubwa katika maneno tuyanenayo katika mafanikio.Ahsante Ila hiyo pesa sitaipata mpaka nakufa labda peponi nackia huko pesa njenje. Japo napeponi nahic sitaenda
Siyo Kizumba mkuuAu itakuwa Kizumba ?
Wenye shule wengi wanaziendesha bila weledi na utaasisi,yaani mmiliki anaendesha shule kwa maamuzi binafsi na pesa toka mfukoni bila bajeti wala utaratibu.Ikitokea akaaga dunia unakuwa ndo mwisho wa shule na wakati mwingine wanafunzi wakipungua tuu au akipungukiwa pesa kwa sababu labda kaingia kwenye siasa au starehe ama kupigwa na ndugu ama surbordinates wake unakuwa ndo mwisho wa shule.Hiyo ni kweli kabisa mkuu
Ndivyo tulivyo Waafrika na ndipo tunapofeliWenye shule wengi wanaziendesha bila weledi na utaasisi,yaani mmiliki anaendesha shule kwa maamuzi binafsi na pesa toka mfukoni bila bajeti wala utaratibu.Ikitokea akaaga dunia unakuwa ndo mwisho wa shule na wakati mwingine wanafunzi wakipungua tuu au akipungukiwa pesa kwa sababu labda kaingia kwenye siasa au starehe ama kupigwa na ndugu ama surbordinates wake unakuwa ndo mwisho wa shule.
Ukereweeee! Yego Hakimu!!??mmmh! Nyamagondo ni kijiji
Hahahaaa Yegoo!!Ukereweeee! Yego Hakimu!!??
Ndiyo mkuu unanunua taasisi yote mkuuDuh nikinunua shule nanunua na wanafunzi pamoja na walimu haha
Kuna factors nyingi mkuu ambazo ni internal na externalHalafu wajuzi hebu watueleze hapa, inakuwaje mpaka shule inafilisika?
kwamba wanafunzi hawalipi ada au nini tatizo.