Shule ya Sekondari Inauzwa

Niitaje jina mkuu?
 
Nikikubali DPP si anaweza nisamehe hizo Bil.3 na shule mkanipa?

sku hz biashara za B B zishakua trending sana yani
 
picha za shule inayouzwa

eneo ilipo

majengo hali yake

ndipo watu tuanze ku bargain
 
Nisiogope kutaja dau langu
1bil naanza na 20mil niachwe niendeshe 1 yrs second payment 50mil inalipa 5yrs.
Mwanaume hutetemeki unapoomba kitu roho inataka bwana
Mkuu kwa hiyo hela labda uje tukuuzie ardhi tuu kipande kidogo. Maana kuna ekari zaidi ya 30 hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…