Shule ya Sekondari Inauzwa

Shule ya Sekondari Inauzwa

Nyamagondo

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
648
Reaction score
767
Wakuu natumaini mko salama.
Kuna shule inauzwa ipo maeneo ya Kongowe Dar es Salaam na ina mambo yafuatayo:-
-Ina vyumba 12 vya madarasa
-Ina jengo la utawala na maofisi
-Ina bwalo kubwa
-Ina nyumba 2 za walimu
-Ina hosteli 2 za boys na girls
-Ina zahanati ya shule
-Ina kisima cha maji kirefu cha kisasa
-Ina umeme
-Ina wanafunzi na walimu na other staff
-Ipo katika eneo la ekari 40
-Inafikika vizuri kwa gari, ni umbali wa kiasi kutoka main road.

Kwa kifupi ina details nyingi lakini hatuzitoi zote in public kwa kuhofia wazazi kuhamisha wototo wao wakiliona tangazo live kwamba shule inauzwa.

Kwa ambae yupo Interested kabisa kabisa njoo inbox utapata details zote pamoja na kuitembelea uione.
Pia kwa mwenye kumleta mteja atapata ya maji ya kunywa.

Bei yake inaanzia Tsh bilioni 2 , lakini inazungumzika vizuri tuu na unaweza kulipa kwa awamu. Pia tukizitoa zile ekari za eneo ibaki shule pekee bei inashuka zaidi hadi 1.5B

Pia tunaweza kuingia mkataba maalumu na mtu/taasisi kwa suala la ku outsource management, kwa hiyo hapo unatuma proposal ya kuhitaji halafu tunakuja kukaa kikao pamoja. Hapa bei inakua ndogo ni kulingana na muda unaotaka kuweka management yako katika shule.

Karibuni sana wakuu.
Namba zangu za simu ni 0745596315
 
Shule kufilisika tatizo huwa linaanzia kwenye management, kama unawatreat walimu hovyo then mishahara midogo na vipindi unapewa kibao unategemea nini? Hapo lazima ufaulu ushuke, ufaulu ukishuka ndo mwanzo wa kukosa wanafunzi na shule kufilisika..

Mwisho ndo shule kuuzwa au majengo kufugia kuku!
Halafu wajuzi hebu watueleze hapa, inakuwaje mpaka shule inafilisika?
kwamba wanafunzi hawalipi ada au nini tatizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom