Shule ya sekondar machame imulikwe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule ya sekondar machame imulikwe.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by backspace, Aug 31, 2012.

 1. b

  backspace Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni muda sasa tangu tusikie malalamiko kuhusu shule hii; Leo na mimi acha nifunguke..msomsji WA uzii huu utakubaliana na Mimi kuwa shule hii imepote kwenye ulimwengu wa Elimu ukilinganisha na shule nyingine kama Ashira, weruweru nashule nyingine, Haya ni matokeo ya mkuu wa shule ambaye hana uwezo wa kuongoza shule, anzia afike ktk shule hii amekuwa anashuhulikia masilahi binafsi, anzia afike takiribani waalimu kumi wamehama kwaajili yake wengi wakimkimbia na wengine kwakusanabishwa na yy kwa kuwashitaki na kuwachongea kwa Afsa Elimu.

  Shule hii ni Kati ya shule tano za mwisho ktka Renk ya nectar.mama huyu anaye tamba hakuna anaye muweza, juzi Kati tamisemi walikuja na kugundua madudu mengi ikiwa ni pamoja na miradi kutojulikana mapato yanaenda wapi. Ikiwa ni pamoja na ng'ombe, duka na sh.5000 ambazo wanafunzi wana Changa kwa ajili ya palizi,wanafunzi wakihoji matumizi wanakaripiwa,tunajiuliza mkuu huyu kiburi anakitoa wapi, watoto wanafeli kila mwaka hajali mfano Mwakajana form six kulikuwa hakuna one hata moja, two mbili,na kila siku wazazi wenye uwezo wanahamisha watoto wao,swali langu je! Watoto hawa wa wakulima itakuwaje?

  My take: Waziri waelimu chuguza hujuma hizi okoa watoto wa wawakulima,achana na kutuma watu wa alimashauri. mkuu huyu ana kigogo ana mlinda anafanya anavyo taka na kunyanyasa waalimu na wafunzi.kwa uhakika Zadi angalia matokeo ya shule hii kwa miaka miwili hii au tafuta mwanafunzi yoyotle mhoji hali ni tete
   
Loading...