Shule ya msingi miembeni ina Mwl mmoja tu

Karibu JF mkuu.
Jitahd kujifunza kwa waliotangulia kabla ya kuanzisha uzi.

Labda nkusaidie kidogo, unategemea kama sikuangalia taarifa ya habari Itv kwa uzi wako huu mm ntajua miembeni iko wapi?

Kwanini hyo shule ina mwalimu mmoja?
Nadhani hata itv walielezea so ungekuja na habari iliyokamilika

Samahani kama umekwazika
 
Tatizo ni mazingira magumu,madarasa yameezekwa kwa nyasi na siyo madarasa haswa ila miti imesimamishwa zikawekwa nyasi tu,hakuna madawati ya kutosha,hakuna nyumba za walimu,walimu na wanafunzi wanatembea umbali mrefu na wanakutana na wanyama kama tembo na wanyama wakali,hivyo hakuna Mwl anayetaka kwenda kufundisha huko,
Tafuta taarifa ya hbr Leo ITV kwa Maelezo zaidi
 
Je hiyo shule nayo ilipatiwa mgao wa madawati ????
 
Hizo ndio changamoto zinazowakumba waalimu na wanafunzi kwenye kuhakikisha Suala la Elimu linafanikiwa.
 
Tatizo ni mazingira magumu,madarasa yameezekwa kwa nyasi na siyo madarasa haswa ila miti imesimamishwa zikawekwa nyasi tu,hakuna madawati ya kutosha,hakuna nyumba za walimu,walimu na wanafunzi wanatembea umbali mrefu na wanakutana na wanyama kama tembo na wanyama wakali,hivyo hakuna Mwl anayetaka kwenda kufundisha huko,
Tafuta taarifa ya hbr Leo ITV kwa Maelezo zaidi
Japo cjackiza hiyo newz..., but nikifika hapo ndo hua nabaki kushangaa wananchi was eneo husika. Hv ni kweli wameshindwa kufikiri kua wanatakiwa kuteneza tifali kwan kila kitu kinapatikana keen maeneo yao. Sa had watotovwanasoma mazingiravduni hv wao wananchi wanasubiri Serikali.. , Looh!.
 
Je hiyo shule nayo ilipatiwa mgao wa madawati ????
1. Si umeona kuna meza za square pipe?
2. Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo mwenyewe amekiri kuwa shule nyingi ni za nyasi.
3. Kwa kile nilichokiona, sio shule. Ila inaitwa shule kwa kuwa ipo Namtumbo, Ruvuma.
4. Mbaya zaidi Ruvima ni ngome tiifu cha chama cha kijani.
5. Kwa taswira ile, waalimu wataendelea kuwa maskini sana kwa kuwa 'wateja' wao ni maskini waliokubuhu.
 
Hiyo namba 4,kwa kwa kuwa wao wanaichagua chichiem acha wapigike maana hawakomi kuichagua

OVA
1. Si umeona kuna meza za square pipe?
2. Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo mwenyewe amekiri kuwa shule nyingi ni za nyasi.
3. Kwa kile nilichokiona, sio shule. Ila inaitwa shule kwa kuwa ipo Namtumbo, Ruvuma.
4. Mbaya zaidi Ruvima ni ngome tiifu cha chama cha kijani.
5. Kwa taswira ile, waalimu wataendelea kuwa maskini sana kwa kuwa 'wateja' wao ni maskini waliokubuhu.
 
Sina ajira naomba niende huko mwenye mawasiliano tafadhali anisaidie kupitia humu JF asanteni
 
AJIRA HAKUNA HATA SHULE ZOTE ZIKOSE WALIMU,CHANZO NI WENYE KAULI!
 
1. Si umeona kuna meza za square pipe?
2. Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo mwenyewe amekiri kuwa shule nyingi ni za nyasi.
3. Kwa kile nilichokiona, sio shule. Ila inaitwa shule kwa kuwa ipo Namtumbo, Ruvuma.
4. Mbaya zaidi Ruvima ni ngome tiifu cha chama cha kijani.
5. Kwa taswira ile, waalimu wataendelea kuwa maskini sana kwa kuwa 'wateja' wao ni maskini waliokubuhu.

Ingekua dar ile shule ingekua ni kama eneo la makumbusho
 
Sina ajira naomba niende huko mwenye mawasiliano tafadhali anisaidie kupitia humu JF asanteni

Nenda moja kwa moja kwa ofisi ya mkuu wa wilaya Namtumbo na cheti chako cha form four tu na utakua ushapata ajira na mshahara wako utachukulia kwa Mtendaji
 
Af utaskia rais akisema nchi yang n tajir haya ndo maisha bora kwa maskin
 
vipaumbe vya ccm na serekali yake c elim ni kununua jet kwa cash kuhamia dodoma na kugawa 10mil kwa kila mbunge mengine tusubiri 2019
 
Back
Top Bottom